Tofauti kati ya marekesbisho "Ujuzi"

99 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Francis Bacon.jpg|thumbnail|300px250px|[[Mwanafalsafa]] [[Francis Bacon]] alisema "Ujuzi ni mamlaka" ("knowledge is power").]]
'''Ujuzi''' maana yake ni kufahamu, kujua na kuelewa [[hali]], [[habari]] na maelezo yanayohusu [[mazingira]] tunapoishi. Tunapata ujuzi kwa [[maarifa]] yetu au kwa njia ya kufundishwa tukitazama, kutambua, kulinganisha na kutafakari yale tuliyoona na kujifunza.
 
Kimsingi tunaona [[tofauti]] kati ya ujuzi na [[rai]] au [[hoja]] tupu. Rai na hoja zinakuja pamoja na [[hisia]] na maarifa ambayo mara nyingi haikutafakiriwahaikutafakariwa kimakini. Kinyume chake ujuzi ni yale tunayoona kuwa unayana [[kiwango]] kikubwa cha [[uhakika]] baada ya kujadiliwa na watu wengi katika [[mchakato]] unaoeleweka. Lakini kila ujuzi una kiwango cha kukosa uhakika kwa sababu [[uwezekano]] wa makosama[[kosa]] katika kuelewa halisia[[uhalisia]] unabaki kila [[wakati]].
 
Katika [[falsafa]] elimu jinsi ya kupata ujuzi huitwa [[epistomolojia]]. Mwanafalsafa [[Plato]] alieleza ujuzi kuwa "rai ya kweli yenye msingi mzuri" (englisch justified true belief).
 
{{mbegu}}
[[jamii:falsafa]]
 
[[Jamii:Falsafa]]
[[Jamii:Elimu]]