Mnururisho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mnururisho''' ([[ing.]] ''radiation'') ni uenezaji wa [[nishati]] kwa njia ya vyembe vidogo sana au kwa njia ya [[mawimbi]]. Mnururisho huwa na chanzo, mwelekeo usionyoka na kasi.
[[File:Nuru katika spektra 1.jpg|thumb|400px|Nuru inayoonekana kwa macho ni sehemu tu ya mnururisho wa sumakuumeme. Mawimbi ya nuru ni sehemu ya mawimbi mengine ya sumakuumeme]]