Morisi Mtakatifu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mauritius Kopf.jpg|thumbnail|Morisi Mtakatifu katika [[sare ya kijeshi]], [[sanamu]] katika [[kanisa kuu]] la [[[[Magdeburg|Mageburg]]]] (Ujerumani)]]
[[Picha:DEU Büderich COA.svg|thumbnail|Morisi kama mwanajeshi kwenye nembo laya mji wa [[Buederich]], Ujerumani]]
'''Morisi Mtakatifu''' (pia: '''Maurice''', '''Mauritius''') alikuwa [[kiongozi]] wa [[kikosi cha Thebi]] kilichokuwakatika kikosi cha[[jeshi]] kijeshi chala [[Roma ya Kale]].
 
==Kifodini chake==
Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hiki kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ya kusini na Nubia waliotumwa Ulaya wakati wa Kaisari Maximiano wa Roma. Wengi wao walikuwa Wakristo. Katika eneo la Uswisi wa leo walipewa amri ya kujiandaa kwa mapigano dhidi ya waasi na kabla ya mapigano kutoa sadaka kwa Kaisari aliyeheshimiwa kama mungu. Wakristo hao walikataa kutoa sadaka hii. Kaisari alipopata habari hii akakasirika akatoa amri kuua kila askari wa kumi katika kikosi. Wakristo walipoendelea kukataa amri ilirudiwa hatimaye kikosi chote kiliuawa pamoja na kiongozi chake Morisi.
Kufuatana na [[mapokeo]] ya [[karne ya 4]] kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi [[Waafrika]] kutoka [[Misri]] ya [[kusini]] na [[Nubia]] waliotumwa [[Ulaya]] wakati wa [[Kaisari Maximiano]] wa [[Roma]]. Wengi wao walikuwa [[Wakristo]].
 
Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hiki kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ya kusini na Nubia waliotumwa Ulaya wakati wa Kaisari Maximiano wa Roma. Wengi wao walikuwa Wakristo. Katika eneo la [[Uswisi]] wa leo walipewa [[amri]] ya kujiandaa kwa mapigano dhidi ya waasi na kabla ya mapigano kutoa [[sadaka]] kwa [[Kaisari]] aliyeheshimiwa kama [[mungu]] mmojawapo. Wakristo hao walikataa kutoa sadaka hiihiyo. Kaisari alipopata habari hii akakasirika akatoa amri kuua kila [[askari]] wa kumi katika kikosi. Wakristo walipoendelea kukataa amri ilirudiwa hatimaye kikosi chote kiliuawa pamoja na kiongozi chake Morisi.
Morisi pamoja na askari wa kikosi cha Thebi waliheshimiwa kama watakatifu na wafiadini Wakristo. Katika mapokeo ya sanaa ya Kikristo walichorwa kama Waafrka weusi. Miji mbalimbali ya Uswisi na Ujerumani walitumia na wanatumia picha za Morisi au watakatifu wengine wa Kikosi cha Thebi katika nembo zao. Mara nyingi kama mji wa Ulaya una picha ya mtu mweusi katika nembo yake hii inammaanisha Morisi Mtakatifu au wenzake.
 
==Heshima baada ya kifo==
Morisi aliheshimiwa hasa kama kielelezo cha mwanajeshi bora.
Morisi pamoja na askari wa kikosi cha Thebi waliheshimiwa kama [[watakatifu]] na [[wafiadini]] Wakristo.
 
Katika mapokeo ya [[sanaa ya Kikristo]] walichorwa kama Waafrika weusi.
Mji wa [[Sankt Moritz]] (Saint Marice) nchini Uswisi unabeba jina lake.
 
Morisi pamoja na askari wa kikosi cha Thebi waliheshimiwa kama watakatifu na wafiadini Wakristo. Katika mapokeo ya sanaa ya Kikristo walichorwa kama Waafrka weusi. Miji mbalimbali ya Uswisi na [[Ujerumani]] walitumia na wanatumia [[picha]] za Morisi au watakatifu wengine wa Kikosi cha Thebi katika [[nembo]] zao. Mara nyingi kama [[mji]] wa Ulaya una picha ya mtu mweusi katika nembo yake hii inammaanisha Morisi Mtakatifu au wenzake.
 
Morisi aliheshimiwa hasa kama kielelezo cha [[mwanajeshi]] bora.
 
Mji wa [[Sankt Moritz]] (Saint Marice) nchini Uswisi unabeba jina lake.
 
==TovutiViungo navya marejeonje==
*[http://www.saintmauricechurch.org/St_Maurice.html Kanisa la Kikopti cha Morisi Mtakatifu huko Marekani]
*[http://www.newadvent.org/cathen/10068c.htm St Maurice, Catholic Encyclopedia]
Line 18 ⟶ 25:
[[jamii:Watakatifu wa Misri]]
[[jamii:Watakatifu wa Uswisi]]
[[Jamii:Wafiadini Wakristo]]