Nubia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' thumbnail|Farao Ramses II akipigania na Wanubia (mnamo mwaka 100 BK) Picha:Christian Nubia.png|thumbnail|Falme za k...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ramses II charging Nubians.jpg|thumbnail|Farao [[Ramses II]] akipiganiaakipigana na Wanubia (mnamomchoro wa mwaka [[100]] BK hivi).]]
[[Picha:Christian Nubia.png|thumbnail|Falme za kikristoKikristo katika Nubia kabla ya Uvamizi wa Waarabu.]]
'''Nubia''' (kutokana na jina la wakazi, kwa [[ar.Kiarabu]] نوبة ''nuba'' / ''noba'') ni eneo lilipo kando ya mto [[Naili]] katika [[Misri]] ([[kusini]] yakwa [[mji]] wa [[Aswan]]) na [[Sudan]] kaskazini ya ([[Dongolakaskazini]] lilipo kando ya mtokwa [[NailiKarthoum]]).
 
Katika [[historia]] ilikuwa mahali pa [[ufalme|falme]] mbalimbali, na [[milki]] za [[Kushi]] na [[Meroe]] zilikuwa kubwa kati yaoya hizo.
 
Tangu zamani Wanubia walikuwa majirani wa [[Misri ya Kale]] upande wa kusini. Kulikuwa na vipindi ambako Misri ilitawala sehemu kubwa za Nubia, na pia vipindi ambako Misri ya Kale ilishindana na majirani hao kwa [[vita]].
[[Picha:Ramses II charging Nubians.jpg|thumbnail|Farao Ramses II akipigania na Wanubia (mnamo mwaka 100 BK)]]
[[Picha:Christian Nubia.png|thumbnail|Falme za kikristo katika Nubia kabla ya Uvamizi wa Waarabu]]
'''Nubia''' ([[ar.]] نوبة ''nuba'' / ''noba'') ni eneo katika [[Misri]] kusini ya mji wa [[Aswan]] na [[Sudan]] kaskazini ya [[Dongola]] lilipo kando ya mto [[Naili]].
 
Kutokana na [[picha za ukutani]] katika makaburima[[kaburi]] ya Misri inaonekana ya kwamba Wanubia walikuwa [[Waafrika weusi]]. [[Jeshi]] la Misri ya kale ilikuwalilikuwa na vikosi vya Wanubia mara kwa mara. Kutokana na picha hizo inaonekana ya kwamba kulikuwa na mafaraoma[[farao]] (wafalme) wenye asili ya Nubia mara kadhaa. Mnamo mwaka [[700 KK]] Wanubia walivamia na kuteka Misri na wafalme wao walitawala milki ya Misri kama nasaba ya 25 hadi kufukuzwa katika Misri na uvamizi wa [[Waashuru]].
Katika historia ilikuwa mahali pa falme mbalimbali na milki za [[Kushi]] na [[Meroe]] zilikuwa kubwa kati yao.
 
Mnamo mwaka [[700 KK]] Wanubia walivamia na kuteka Misri na wafalme wao walitawala milki ya Misri kama [[nasaba]] ya 25 hadi kufukuzwa katika Misri na [[uvamizi]] wa [[Waashuru]].
Tangu zamani Wanubia walikuwa majirani wa Misri ya Kale upande wa kusini. Kulikuwa na vipindi ambako Misri ilitawala sehemu kubwa za Nubia, na pia vipindi ambako Misri ya Kale ilishindana na majirani hao kwa vita.
 
Tangu mnamo [[600 KK]] Nubia ilipata [[kitovu]] chake upande wa kusini zaidi katika [[mazingira]] ya Meroe.
Kutokana na picha za ukutani katika makaburi ya Misri inaonekana ya kwamba Wanubia walikuwa Waafrika weusi. Jeshi la Misri ya kale ilikuwa na vikosi vya Wanubia mara kwa mara. Kutokana na picha inaonekana ya kwamba kulikuwa na mafarao (wafalme) wenye asili ya Nubia mara kadhaa. Mnamo mwaka [[700 KK]] Wanubia walivamia na kuteka Misri na wafalme wao walitawala milki ya Misri kama nasaba ya 25 hadi kufukuzwa katika Misri na uvamizi wa [[Waashuru]].
 
[[Waroma wa Kale]] waliotawala Misri baada ya [[Julius Caesar]] walipigana pia mara kadhaa na Wanubia.
Tangu mnamo 600 Nubia ilipata kitovu chake upande wa kusini zaidi katika mazingira ya Meroe.
 
[[Biblia]] inamtaja [[Towashi Mwethiopia]] kama [[waziri]] wa "[[malkia]] wa Kushi" aliyetembelea [[Yerusalemu]] na kuwa [[Mkristo]] katika [[kitabu]] cha [[Matendo ya Mitume]], mlango wa 8.
Waroma wa Kale waliotawala Misri baada ya [[Julius Caesar]] walipigana pia mara kadhaa na Wanubia.
 
Inajulikana ya kwamba tangu [[karne ya 6]] [[BK]] Nubia ilikuwa nchi ya Kikristo. Falme wa Kikristo ziliendelea zikipigana na [[Waarabu]] walivamia na kuteka Misri katika [[karne ya 7]].
[[Biblia]] inamtaja waziri wa "malkia wa Kushi" aliyetembelea [[Yerusalemu]] na kuwa Mkristo katika kitabu cha [[Matendo ya Mitume]], mlango wa 8.
 
Inajulikana ya kwam,ba tangu karne ya 6 Nubia ilikuwa nchi ya Wakristo. Falme wa kikristo ziliendelea zikipigana na Waarabu walivamia na kuteka Misri katika karne ya 7 BK. Polepole [[Uislamu]] ulianza kuenea pamoja na Wavamiziwavamizi Waarabu na mnamo mwaka 1500 milki ya kikristoKikristo ya mwisho katika Nubia ilitekwa na Waislamu mnamnmomnamo mwaka 1500[[1504]].
 
Polepole sehemu kubwa ya Wanubia waliacha [[lugha]] yao na kutumia [[Kiarabu]] lakini kuna maeneo ambako Kinubia kinazungumzwa hadi leo.
 
Vilevile walizidi kuacha Ukristo na [[kusilimu]] ([[mchakato]] huo ulimalizika katika [[karne ya 19]]).
 
==Viungo vya Nje==
Line 28 ⟶ 32:
*[http://medievalsaiproject.wordpress.com/ Medieval Sai Project]
*[http://www.wdl.org/en/item/2550 "Journey to Ethiopia, Eastern Sudan, and Nigritia"] was written by [[Pierre Trémaux]] in 1862-63. It features extensive descriptions and drawings of Nubia.
 
{{mbegu-historia}}
 
[[Jamii:Historia ya Misri]]