DNA ya mitokondria : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
dNo edit summary
Mstari 1:
[[File:Mitochondrial DNA en.svg|thumb|300px|right|DNA ya mitokondria ya binadamu.]]
'''DNA ya mitokondria''' (pia '''ADN ya mitokonriamitokondria''', kutoka [[Kiing.]] '''Mitochondrial DNA''', kifupi '''mtDNA''' au '''mDNA''')<ref>{{cite web|last=Sykes|first=B|title=Mitochondrial DNA and human history|url=http://genome.wellcome.ac.uk/doc_WTD020876.html|work=The Human Genome|publisher=[[Wellcome Trust]]|accessdate=5 February 2012|authorlink=Bryan Sykes|date=10 September 2003}}</ref> ni [[urithi]] wa [[jeni]] ambao unapatikana katika [[mitokondria]] na ni sehemu ndogo ya urithi wote.
 
Upekee wake ni kwamba katika [[binadamu]] na [[viumbe]] vingine vingi unatolewa na [[mama]] tu kwa watoto wake wote<ref>{{cite web|title=Mitochondrial DNA: The Eve Gene|url=http://www.bradshawfoundation.com/journey/eve.html|work=Bradshaw Foundation|publisher=Bradshaw Foundation|accessdate=5 November 2012}}</ref>.