Jiometri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
tahajia
Mstari 2:
'''Jiometria''' (pia: '''jiometri''', kutoka [[gir.]] γεωμετρία; geo- "dunia", -metron "kipimo" na [[ing.]] ''geometry'') ni aina ya [[hisabati]] inayochunguza [[ukubwa]], [[mjao]], [[umbo]] na mahali pa eneo au gimba.
 
Maumbo huwa na wanjawanda (dimensioni) mbili yakiwa bapa au wanjawanda tatu kama ni gimba.
Kwa mfano mraba, pembetatu na duara ni bapa na kuwa na wanjawanda 2 za upana na urefu. Tufe (kama mpira) au mchemraba huwa na wanjawanda 3 za upana, urefu na kimo (urefu kwenda juu).
 
== Matumizi ==