Kālidāsa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 87 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7011 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Kālidās''' ([[Kidevanāgarī]]: कालिदास) alikuwa mwandishi nchini Uhindi. Aliishi mnamo mwaka 400 katika [[milki ya Gupta]] akatumia lugha ya [[Kisanskrit]] akitazamiwa kama mshairi mkuu wa lugha hiyo.
 
Katika ma[[shairi]] na [[tamthiliya]] alitumia mapokeo ya kidini ya [[Uhindu|Kihindu]].