Mzee : Tofauti kati ya masahihisho

246 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Mzee''' ni [[mtu]] aliyeishi miaka mingi baada ya kuzaliwa.
 
Katika [[jamii]] za kiafrika[[Afrika|Kiafrika]], sawa na jamii nyingi duniani[[dunia]]ni, [[neno]] "mzee" linatumiwa pia kama [[cheo]] cha [[heshima]] kwa kumtaja mtu mwenye [[mamlaka]] fulani.

Hapo kuna [[hoja]] laya kuwa mtu aliyeendelea katika [[umri]] anawazidi [[vijana]] kwa [[hekima]] na [[maarifa]] pia, kwa hiyo anafaa kutawala au kufanya maazimioma[[azimio]] au angalau kutoa [[ushauri]].
 
==Mzee katika jamii==
KimapokeoKi[[mapokeo]] [[Utamaduni|tamaduni]] nyingi duniani zinajua heshima ya mzee. Hapo [[kiongozi]] anateuliwa kati ya wazee.

[[Halmashauri]] ya wazee ni [[bodi]] ya kufanya maazimio muhimu. Mkutano wa wazee ni mahali pa kuchukua [[rufaa]], kwa hiyo ina [[kazi]] inayolingana na [[mahakama kuu]] katika jamii zenye [[taasisi]] hizihizo.
 
Wazee ni watu wanaotunza [[mila]] na [[desturi]] pamoja na [[kumbukumbu]] ya [[historia]] na wanapaswa kusikilizwa kwa heshima.<ref>Elders were and are the guardians of the culture, traditions, and history of the people. Integrity, generosity, wisdom, articulateness, subtlety, patience, tactfulness, gratefulness, and being listened to and respected by others are all qualities of an Elder. [http://www.africanholocaust.net/ritesofpassage.html#elder Elder Roles]</ref>
 
Katika jamii zilizopangwa kwa [[rika]] (vikundi kulingana na umri), kama [[Wamasai]] au [[Wazulu]], rika yala wazee inapaswalinapaswa kusikilizwa katika maazimio yanayohusu jamii yote.
Wazee ni watu wanaotunza mila na desturi pamoja na kumbukumbu ya historia na wanapaswa kusikilizwa kwa heshima.
<ref>Elders were and are the guardians of the culture, traditions, and history of the people. Integrity, generosity, wisdom, articulateness, subtlety, patience, tactfulness, gratefulness, and being listened to and respected by others are all qualities of an Elder. [http://www.africanholocaust.net/ritesofpassage.html#elder Elder Roles]</ref>
 
Wakati umri unazidi na wazee wanakuwa dhaifu [[ugumu]] unaanza kuendelea na cheo cha heshima. Hata hivyo wote wanapaswa kuonyesha heshima kwao hata kama hali halisi hawatajali tena ushauri wao.
Katika jamii zilizopangwa kwa [[rika]] (vikundi kulingana na umri) kama Wamasai au [[Wazulu]] rika ya wazee inapaswa kusikilizwa katika maazimio yanayohusu jamii yote.
 
Wakati umri unazidi na wazee wanakuwa wadhaifu ugumu unaanza kuendelea na cheo cha heshima. Hata hivyo wote wanapaswa kuonyesha heshima kwao hata kama hali halisi hawatajali tena ushauri wao. [[Tatizo]] hilihilo ni tofauti kati ya tamaduni za kimila ambako watu wadhaifudhaifu hawaishi [[muda]] mrefu sana kutokana na [[uhaba]] wa nafasi za [[tiba]] upande mmoja na tamaduni zilizoendelea ambako nafasi za tiba zinawezesha watu wengi kufikia umri mkubwa ambako [[asilimia]] inaanza kupoteza [[akili]] au uwezo wote wa kutembea kwa miaka mfululizo. <ref>[http://faculty.usfsp.edu/jsokolov/webbook/fry.pdf Culture and the Meaning of a Good Old Age]</ref> Kama idadi ya wazee wadhaifudhaifu mno inazidi ni vigumu kuendelea na hoja laya heshima kwa wazee.
 
==Mzee katika tamaduni mbalimbali==
[[Matumizi]] ya kulingana ya maneno yenye maana ya "mzee" yanapatikana kwa [[lugha]] mbalimbali:
* neno '''[[sheikh]]''' (‏شيخ‎) kwa [[Kiarabu]] kiasili linamtaja mtu mwenye umri wa juu,; leo imekuwa neno la kutaja watawala, wakuu wa [[kabila]] fulani au pia viongozi wa makundima[[kundi]] ya kidiniki[[dini]] ya [[Uislamu|Kiislamu]].
* "[[Senati]]" katika mfumo wa kisiasa wa nchi mbalimbali ni kitengo cha [[bunge]]. Neno latokanalinatokana na lugha ya [[Kilatini]] "senatus" ambakoambalo kiasili lilitaja "mkutano wa wazee". Katika Kilatini chenyewe neno latokanalinatokana na "Senex" yaani mtu mwenye umri mkubwa.
 
==MarejeoTanbihi==
<references/>
 
[[Jamii:Cheo]]
[[Jamii:Utamaduni]]