Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
Mstari 56:
[[Picha:Bujumbura 29.36607E 3.37443S.jpg|thumb|NASA photo of Burundi]]
 
'''Jamhuri ya Burundi''' (iliyojulikana zamani kama '''Urundi''') ni nchi ndogo ambayo iko karibukatika na e[[Nchi za Maziwa Makuu|neoeneo la Maziwa Makubwa]] ya [[Afrika]]. Burundi imepakana na [[Rwanda]] upande wa [[kaskazini]], [[Tanzania]] upande wa [[mashariki]], na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] upande wa [[magharibi]].

Jina lenyewe la nchi hii, limetokana kwa msingi na kutanuka kwa [[lugha]] ya [[Kirundi]] ambacho ni [[lugha ya Kibantu]].
 
== Jiografia ==
Burundi ni kati ya nchi ndogo zaidi zilizomo barani [[Afrika]]. Wakazi [[milioni]] 10 ni wengi kulingana na eneo dogo la nchi, [[msongamano]] wa watu ni wakazi 379 kwenye kila [[km²|kilomita ya mraba]].
 
Ingawa Burundi haina [[bahari]], sehemu ya [[mpaka]] wake eneo la mashariki unaishia kwenye [[mwambao]] wa [[Ziwa Tanganyika]].
 
Eneo lote ni [[nyanda za juu]] zenye [[kimo]] cha [[mita]] 1700 [[juu ya UB]] kwa [[wastani]]. Sehemu ya juu zaidi ni [[kilele]] cha [[mlima Heha]] chenye mita 2685 juu ya uwiano wa bahari uliopo katika [[safu]] ya milima inayopakana na [[bonde la ufa la Afrika ya Mashariki]].
 
Sehemu ya magharibi ya nchi ni sehemu ya [[bonde la ufa]] yenye kimo cha mita 760-850 juu ya uwiano wa bahari. Sehemu ya kusini ya bonde la ufa katika Burundi imejaa [[maji]] ya [[Ziwa Tanganyika]].
 
IngawaUpande Burundi haina bahari sehemu ya mpaka wake eneo lawa mashariki unaishia kwenye mwabao wa [[Ziwa Tanganyika]]. Eneo lote ni nyanda za juu zenye kimo cha mita 1700 [[juu ya UB]] kwa wastani. Sehemu ya juu ni kilele cha [[mlima Heha]] chenye mita 2685 juu ya uwiano wa bahari uliopo katika safu ya milima inayopakana na [[bonde la ufa lakuna Afrika ya Mashariki[[chanzo]]. Sehemu ya magharibi ya nchi ni sehemu ya bonde la ufa kenye kimo cha mita 760 -850 juu ya uwiano wa bahari. Sehemu ya kusini ya bonde la ufa katika Burundi imejaa maji ya Ziwa Tanganyika. Upande wa mashariki ya safu la milima inayopakana bonde la ufa kuna chanzo cha [[mto Ruvyironza]] (pia: Luvironza) unaishiaunaoishia katika [[mto Kagera]] na hivyo huhesabiwa kati ya vyanzo vya mto [[Naili]].<ref>[Klohn, Wulf and Mihailo Andjelic. <nowiki>[http://www.fao.org/ag/AGL/AGLW/webpub/lakevic/LAKEVIC4.htm Lake Victoria: A Case in International Cooperation]</nowiki>. Food and Agriculture Organization of the United Nations. Retrieved on July 20, 2008]</ref>
 
[[Hali ya hewa]] ni ya kitropikiki[[tropiki]]: kuna vipindi viwili vya [[mvua]]. [[Joto]] linapungua kutokana na kimo cha nchi. Kuna mvua kwa wastani wa [[milimita]] 1,000 kwa [[mwaka]].
 
Matumizi ya [[ardhi]] ni kwa ajili ya [[kilimo]] au [[mifugo]]. Msongamano wa watu umesababisha kuenea kwa [[ukataji wa misitu]], [[mmomonyoko wa ardhi]] na kupotea kwa ardhi yenye rutba[[rutuba]]<ref><nowiki>[Bermingham, Eldredge, Dick, Christopher W. and Moritz, Craig (2005). ''Tropical Rainforests: Past, Present, and Future''. Chicago, Illinois: [[University of Chicago]] Press, p. 146. ISBN 0-226-04468-8]</nowiki></ref>. Eneo la [[misitu]] lililobaki ni kilomita cha mraba 600 pekee linalopungua kwa kasi ya [[asilimia]] 9% kwa mwaka<ref><nowiki>[http://www.mongabay.com/deforestation.htm Worldwide Deforestation Rates]</nowiki> Food and Agriculture Organization of the U.N.: The State of the World's Forests 2003. Published on Mongabay.com. Retrieved on June 29, 2008.</ref>. Kuna hifadhi mbili za taifa ambazo ni [[Hifadhi ya Taifa ya Kibira]] kwenye kaskazini-magharibi (inapakana na Msitu wa Nyungwe huko Rwanda), na [[Hifadhi ya Taifa ya Ruvubu]] upande wa kaskazni-mashariki karibu na mto Rurubu (pia Ruvubu au Ruvuvu). Hifadhi zote mbili zilianzishwa mwaka 1982 kwa shabaha ya kuhifadhi wanyama wa pori<ref><nowiki>East, Rob (1999). ''African Antelope Database 1998''. [[Gland, Switzerland]]: [[International Union for Conservation of Nature]], p. 74. ISBN 2-8317-0477-4.</nowiki></ref>.
 
Kuna hifadhi mbili za taifa ambazo ni [[Hifadhi ya Taifa ya Kibira]] kwenye kaskazini-magharibi (inapakana na [[Msitu wa Nyungwe]] huko Rwanda), na [[Hifadhi ya Taifa ya Ruvubu]] upande wa kaskazni-mashariki karibu na [[mto Rurubu]] (pia Ruvubu au Ruvuvu). Hifadhi zote mbili zilianzishwa mwaka [[1982]] kwa [[shabaha]] ya kuhifadhi [[wanyamapori]]<ref><nowiki>East, Rob (1999). ''African Antelope Database 1998''. [[Gland, Switzerland]]: [[International Union for Conservation of Nature]], p. 74. ISBN 2-8317-0477-4.</nowiki></ref>.
== Hali ya nchi ==
Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya kisiasa na kijamii. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina maliasili kutosheleza umma na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi [[Wahutu]] na walio wachache [[Watutsi]] na [[Watwa]] na pia kuna kabila la warundi wanaojinasibu kuwa wao siyo watusi wala wahutu bali ni waswahili, Na hilo kabila la waswahili lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na wao ndo wenyeji wa jiji la Bujumbura, walimsaidia Mwanamfalme Louis Rwagasore katika harakati za kutafuta uhuru wa Burundi.
 
== Hali ya nchi kijamii na kisiasa ==
Kwa orodha ya Marais wa nchi tangu uhuru, angalia [[Orodha ya Marais wa Burundi|hapa]].
Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya kisiasaki[[siasa]] na kijamiiya ki[[jamii]]. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina [[maliasili]] ya kutosheleza [[umma]] na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi [[Wahutu]] na walio wachache [[Watutsi]] na [[Watwa]]. na piaPia kuna [[kabila]] la warundi[[Warundi]] wanaojinasibu kuwa wao siyosio watusiWatutsi wala wahutuWahutu bali ni waswahili, Na[[Waswahili]]. hiloHilo kabila la waswahiliWaswahili lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na wao ndondio wenyeji wa [[jiji]] la [[Bujumbura]], walimsaidiawaliomsaidia [[Mwanamfalme]] [[Louis Rwagasore]] katika [[harakati]] za kutafuta [[uhuru]] wa Burundi.
 
== Utawala ==
Burundi imegawiwa kwakatika [[mikoa]] 18 (kwa [[far.Kifaransa]] province, kwa [[Kirundi]]: IProvense) inayoitwa kufuatana na miji penyeyenye [[makao makuu]] ya [[utawala]].
 
<nowiki>*</nowiki>Angalia [[Mikoa ya Burundi]]
 
Mikoa imegawiwa kwa wilaya inayoitwa "communes" na hii megawiwaimegawiwa kwa "collines" (vilima).
 
== Watu na Utamaduni ==
Line 97 ⟶ 105:
== Ongezea masomo kwa wingi ==
* ''Burundi: Ethnic Conflict and Genocide'' Reni Lemarchand and Lee H. Hamilton
 
== Mishikanizi ==
{{tafsiri}}
 
== Tazama pia ==
* [[Orodha ya miji ya Burundi]]
* [[Orodha ya mikoa ya Burundi]]
* [[Orodha ya Marais wa Burundi]].
 
==Tanbihi==
{{marejeo}}
 
== Viungo vya nje ==
{{Commons}}
=== Serikali ===
* {{fr}} [http://www.burundi.gov.bi/ Tovuti ya serikali ya Burundi]
Line 126 ⟶ 136:
* [http://dir.yahoo.com/Regional/Countries/Burundi/ Yahoo! - ''Burundi''] directory category
 
=== OtherVinginevyo ===
* [http://www.ligue-iteka.africa-web.org/index.php3 Burundian Human Rights Organisation "Ligue Iteka"] - with up-to-date news in English and French
* [http://agathonrwasa.blogspot.com Campaign for the prosecution of FNL leader Agathon Rwasa]
Line 135 ⟶ 145:
* [http://www.alertnet.org/thefacts/countryprofiles/152653.htm Reuters Alertnet - Burundi] humanitarian news
* [http://www.irinnews.org/frontpage.asp?SelectRegion=Great_Lakes&SelectCountry=Burundi Updated humanitarian news] from the [[United Nations]] [[Office for the Coordination of Humanitarian Affairs]]
 
{{Commons}}
 
{{Afrika}}