Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
historia
Mstari 79:
== Hali ya nchi kijamii na kisiasa ==
Mara kadhaa nchi hii imekuwa na misukosuko na machafuko ya ki[[siasa]] na ya ki[[jamii]]. Shida kubwa ni kuwa Burundi haina [[maliasili]] ya kutosheleza [[umma]] na kutosheleza ratili ya kisiasa kwa walio wengi [[Wahutu]] na walio wachache [[Watutsi]] na [[Watwa]]. Pia kuna [[kabila]] la [[Warundi]] wanaojinasibu kuwa wao sio Watutsi wala Wahutu bali ni [[Waswahili]]. Hilo kabila la Waswahili lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na ndio wenyeji wa [[jiji]] la [[Bujumbura]], waliomsaidia [[Mwanamfalme]] [[Louis Rwagasore]] katika [[harakati]] za kutafuta [[uhuru]] wa Burundi.
 
== Historia ==
Dola la kwanza katika eneo hili lilikuwa Ufalme wa Burundi. Katika mapokeo ya wenyeji ulianzishwa katika karne ya 17 na mtu kwa jina la Cambarantama aliyefika ama kutoka Rwanda au kutoka Buha katika [[Mkoa wa Kigoma]], Tanzania ya leo.
 
Ufalme huu ulitawaliwa na kundi la [[Watutsi]] waliokuwa wafugaji wa ng'ombe na kutawala wenyeji waliokuwa wakulima Wabantu. Watutsi walikuwa takaba la kikabaila. Mfalme au [[mwami]] alikuwa mkuu wa makabaila hawa ambao walitazamiwa kama mabwana wa ardhi iliyolimwa na watu wa kawaida. Hao wakulima waliruhusiwa kulima nchi wakipaswa kutoa huduma na sehemu ya mavuno kwa mabwana waliopaswa kuwatetea dhidi maadui.
 
Ufalme huu ulienea katika karne zilizofuata. Mwami Ntare IV Rutaganzwa Rugamba aliyetawala mnamo 1796 hadi 1850 aliweza kupanusha mipaka ya ufalme wake hadi kushika sehemu kubwa ya eno la leo.
 
Wazungu wa kwanza waliofika walikuwa wapelelezi Waingereza [[Richard Burton]] and [[John Hanning Speke]] mnamo mwaka 1854. Walifuatwa na wengine na 1894 Mjerumani wa kwanza alipita hapa aliyekuwa [[Oskar Baumann.]] Wakati ule Ujerumani uliwahi tayari kuanzisha koloni yake ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani lakini Wajerumani walichelewa kufika kwenye kaskazini-magharibi ya maeneo waliyotazama kuwa sehemu yao. Katika Burundi kikosi cha kwanza cha Kijerumani kilifika mnamo 1896 wakakuta ufalme wa mwami wakaridhika kumwacha mwakilishi mkazi (resident) ktika mji mkuu [[Gitega]] ambaye hakuhusika na mambo ya utwala wa ndani. S
 
== Utawala ==