Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 81:
 
== Historia ==
===Ufalme wa Burundi===
[[Dola]] la kwanza katika eneo hili lilikuwa [[Ufalme wa Burundi]]. Katika mapokeo ya wenyeji ulianzishwa katika [[karne ya 17]] na mtu kwa jina la [[Cambarantama]] aliyefika ama kutoka Rwanda auama kutoka [[Waha|Buha]] katika [[Mkoa wa Kigoma]], Tanzania ya leo.
 
Ufalme huuhuo ulitawaliwa na kundi la [[Watutsi]] waliokuwa [[wafugaji]] wa [[ng'ombe]] na kutawala wenyeji waliokuwa [[wakulima]] Wabantu. Watutsi walikuwa takaba[[tabaka]] la [[ukabaila|kikabaila]]. [[Mfalme]] au [[mwami]] alikuwa mkuu wa makabaila hawahao ambao walitazamiwa kama mabwana wa ardhi iliyolimwa na watu wa kawaida. Hao wakulima waliruhusiwa kulima nchi wakipaswa kutoa [[huduma]] na sehemu ya [[mavuno]] kwa mabwana waliopaswa kuwatetea dhidi ya [[adui|maadui]].
 
Ufalme huuhuo ulienea katika [[karne]] zilizofuata. Mwami [[Ntare IV]] Rutaganzwa Rugamba aliyetawala mnamotangu mwaka [[1796]] hadi [[1850]] aliweza kupanushakupanua mipaka ya ufalme wake hadi kushika sehemu kubwa ya enoeneo la leo.
 
===Ukoloni===
[[Wazungu]] wa kwanza waliofika walikuwa [[wapelelezi]] [[Waingereza]] [[Richard Burton]] andna [[John Hanning Speke]] mnamo mwaka [[1854]]. Walifuatwa na wengine na mwaka [[1894]] [[Mjerumani]] wa kwanza alipita hapahuko aliyekuwa [[Oskar Baumann.]]. Wakati ule [[Ujerumani]] uliwahi tayari kuanzisha [[koloni]] yakelake yala [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] lakini Wajerumani walichelewa kufika kwenye kaskazini-magharibi yamwa maeneo waliyotazama kuwa sehemu yao. Katika Burundi kikosi cha kwanza cha Kijerumani kilifika mnamo 1896 wakakuta ufalme wa mwami wakaridhika kumwacha mwakilishi mkazi (resident) katika mji mkuu [[Gitega]] ambaye hakuhusika na mambo ya utwala wa ndani. Wakati ule eneo lilijulikana kwa jina "Urundi". Hapa sawa na Rwanda na Bukoba Wajerumani walitumia mbinu wa [[eneo lindwa]] ingawa vyanzo wa nyakati zile zinaonyesha ya kwamba walikuwa pia na majadiliano kuingiza falme hizi za kienyeji moja kwa moja ndani ya koloni yao.
 
Katika Burundi kikosi cha kwanza cha Kijerumani kilifika mnamo [[1896]] wakakuta ufalme wa mwami wakaridhika kumwacha katika [[mji mkuu]] [[Gitega]] mwakilishi mkazi (resident) ambaye hakuhusika na mambo ya utawala wa ndani. Wakati ule eneo lilijulikana kwa jina "Urundi". Hapa sawa na Rwanda na [[Bukoba]] Wajerumani walitumia [[mbinu]] ya [[eneo lindwa]] ingawa vyanzo vya nyakati zile zinaonyesha ya kwamba walikuwa pia na majadiliano kuingiza falme hizi za kienyeji moja kwa moja ndani ya koloni lao.
Baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia Burundi pamoja na Rwanda ilikabidhiwa kwa Ubelgiji kwa niaba ya [[Shirikisho kwa Mataifa]]. Kimsingi Wabelgiji waliendelea na mfumo wa Wajerumani uliomwacha mtemi mamlaka makubwa.
 
Baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] Burundi pamoja na Rwanda ilikabidhiwa kwa [[Ubelgiji]] kwa niaba ya [[Shirikisho kwala Mataifa]]. Kimsingi Wabelgiji waliendelea na mfumo wa Wajerumani uliomwachauliomwachia mtemi [[mamlaka]] makubwakubwa.
 
== Utawala ==