Ukoloni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7167 (translate me)
masahihisho kadhaa, bado tayari
Mstari 1:
[[Picha:Colonization 1945.png|thumbnail|450px|Ramani ya ukoloni duniani mwishoni mwa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] mwaka [[1945]].]]
 
''' Ukoloni''' ni mfumo wa [[taifa]] moja kuvuka mipaka yake na kutawala maeneo ya mbali yanayokaliwa na watu wengine kwa nyanja za [[uchumi|kiuchumi]], [[utamaduni|kiutamaduni]] na [[jamii|kijamii]]. Maeneo haya yanaweza kuitwa [[koloni]] au [[eneo lindwa]].
 
Ukoloni unaitwa hasa kipindi tangu karne ya 15 ambako [[Ureno]] na [[Hispania]] zilianza kuenea Afrika na [[Amerika ya Kusini]] na kudumu hadi baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Lakini kulikuwa na vipindi vya ukoloni pia zamani katika historia kama vile ukoloni wa [[Roma ya Kale]], ukoloni wa Waarabu na vingine. Ukoloni kwa maana hii inaweza kuwa tofauti na kuundwa kwa [[koloni]] katika vipindi mbalimbali vya historia ambako maeneo bila wakazi au penye wakazi wachache sana yaliingiliwa na watu kutoka sehemu nyingine.
Mstari 30:
==Makoloni yaliyokuweko Afrika==
 
1. Belgium[[Ubelgiji]] ilikuwa na Congo[[Kongo]], Burundi, Rwanda, Zaire (formerly the Congo)
 
2. Britain[[Uingereza]] ilikuwa na Botswana, Cameroon, Egypt, Gambia, Ghana, Kenya, Lesotho, Malawi, Mauritius, Nigeria, Seychelles, Sierra Leone, Somalia, South Africa, Sudan, Swaziland, Uganda, Zanzibar, Zambia, Zimbabwe Same. With the addition of Eritrea from 1943 until the United Nations returned it to Ethiopian sovereignty as an independent, autonomous unit in 1952. Libya (with France) from 1943 to its independence in1952. Also, the new territory of Tanzania which was a uniting of Tanganyika and Zanzibar in 1964.
 
3. France[[Ufaransa]] ilikuwa na Algeria, Benin, Central African Republic, Chad, Comoros, Cote D'Ivoire, Djibouti, Gabon, Guinea, Madagascar, Mali, Mauritania, Morocco, Niger, Senegal, Tunisia Same. Cameroon, Libya (with Britain) from1943 to its independence in 1952
 
3. Germany[[Ujerumani]] ilikuwa na Burundi, Cameroon, Germany, Morocco, Namibia, Rwanda, Tanganyika, Togo
 
4. Italy[[Italia]] ilikuwa na Libya (by conquest in 1911. Libya was previously ruled by Turkey form the 16th century until the Italian invasion) Eritrea (by invasion) 1936-1941. After World War II, no countries .
 
5. Netherlands(Dutch)[[Uholanzi]] ilikuwa na South Africa
 
8. Portugal[[Ureno]] ilikuwa na Angola, Cape Verde, Guinea-Bissau, Mozambique, San Tome & Principe
 
7. Spain[[Hispania]] ilikuwa na Equatorial Guinea, Morocco".
 
== Vitabu ==