Eneo la kudhaminiwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 7:
 
== Kuanzishwa kwa maeneo ya kudhaminiwa ==
Maeneo ya kudhaminiwa yalianzishwa 1919 katika [[Mkataba wa Versailles]]. Mkataba uliweka utaratibu mpya wa kimataifa baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Nchi zilizoshindwa katika vita hii hasa [[Dola la Ujerumani]], [[Austria-Hungaria]] na [[Milki ya Osmani]] (Uturuki) zilipotea maeneo makubwa. Sehemu ya maeneo haya yalipewa nafasi ya kuwa nchi huru moja kwa moja kwa mfano nchi kama [[Hungaria]], [[Romania]] au [[Chekoslovakia]].
 
Mengine yalitazamiwa kama bado tayari kwa uhuru hasa koloni za Ujerumani na maeneo ya Waarabu chini ya Milki ya Osmani. Yaligawiwa kwa jumla kati ya Uingereza na Ufaransa; Japani ilipata pia maeneo madogo.