Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ Watu na mpangilio
Mstari 80:
Kuna hifadhi mbili za taifa ambazo ni [[Hifadhi ya Taifa ya Kibira]] kwenye kaskazini-magharibi (inapakana na [[Msitu wa Nyungwe]] huko Rwanda), na [[Hifadhi ya Taifa ya Ruvubu]] upande wa kaskazni-mashariki karibu na [[mto Rurubu]] (pia Ruvubu au Ruvuvu). Hifadhi zote mbili zilianzishwa mwaka [[1982]] kwa [[shabaha]] ya kuhifadhi [[wanyamapori]]<ref><nowiki>East, Rob (1999). ''African Antelope Database 1998''. [[Gland, Switzerland]]: [[International Union for Conservation of Nature]], p. 74. ISBN 2-8317-0477-4.</nowiki></ref>.
 
==Watu==
== Hali ya nchi kijamii na kisiasa ==
Idadi ya watu ni takriban milioni 10 na nusu. Asilimia 46 % kati yao hawakumaliza miaka 15, umri wa wastani ni mnamo miaka 16.7. Watoto wengi wanakufa mapema, ni kama 62 kati ya 1000 wanaozaliwa (mwaka 2007). Kwa umri wa wastani ni mnamo miaka 54 pekee. Takriban 1.2% za wananchi wana UKIMWI<ref>[http://www.undp.org/content/dam/undp/library/corporate/HDR/2014HDR/HDR-2014-English.pdf UNDP Human Development Index; wastani ya Tanzania ni miaka 64]</ref>. Wanawake wanazaa kwa watsani watoto 6, hii nafasi ya tano duniani.
Burundi ilundwa kama ufalme ulioongozwa na Watutsi waliotawala Wahutu. Lakini kabla ya ukoloni mipaka kati ya makundi hayo haikuwa imara mno; Wahutu ma[[tajiri]] katika utumishi wa mwami waliweza kupanda ngazi na kuwa Watutsi na pia Watutsi [[maskini]] waliweza kushuka ngazi na kuhesabiwa kati ya Wahutu, hasa baada ya [[Ndoa|kuoa]] au kuolewa na mtu wa upande mwingine. Uhusiano wa makundi hayo ulifanana zaidi na ule wa [[tabaka|matabaka]] si wa makabila tofauti, pia kwa sababu lugha ilikuwa moja kwa wote.
 
Jamii ya Burundi ni jamii ya vijijini, ni asilima 13 pekee wanaoishi katika miji<ref>[https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/by.html World Fact Book 2008]</ref>.
Utawala wa kikoloni uliimarisha mipaka kati ya makundi hayo mawili maana kila mtu aliandikishwa na kupangwa katika moja kati ya makundi hayo. Pia Wabelgiji walipendelea Watutsi na kuangalia wapate nafasi zote za uchifu ambako walipaswa kutoa [[kibali]]. Kuhamia katika kundi lingine kulikwisha. Uhusiano kati ya makundi ulianza kufanana zaidi na [[ukabila]].
 
Vikundi kati ya wakazi ni hasa [[Wahutu]] (~85%), [[Watutsi]] (~14%) na [[Watwaa]] ([[mbilikimo]]) (chini ya 1%). Wote wanatumia lugha ya Kirundi.
Mwishoni mwa ukoloni sehemu ya Wabelgiji walibadilisha msimamo na kupendelea Wahutu.
 
Katika hali hiyo Burundi ilikaribia [[uhuru]]. [[Chama cha siasa|Vyama vya siasa]] viliundwa vilivyofuata ugawaji wa kimbari kati ya Watutsi na Wahutu. Mapigano ya kwanza kati ya Wahutu na Watutsi yalitokea mwaka [[1959]] kabla ya uhuru yakakomeshwa na Wabelgiji.
 
Baada ya uhuru katika Burundi, kinyume na Rwanda, utawala ulibaki upande wa Watutsi kwa sababu [[jeshi]] lilikuwa mikononi mwao. Vipindi vya mashambulio kati ya vikundi vilifuata.
 
Mwaka [[1972]] [[Laki|malaki]] ya Wahutu waliuawa na jeshi la Kitutsi waliolenga hasa Wahutu wenye [[elimu]].
 
Mwaka [[1993]] uongozi wa Kitutsi ulikubali tena [[uchaguzi huru]] ambako Mhutu [[Melchior Ndadaye]] alichaguliwa kuwa [[rais]]. Alipouawa na wanajeshi Watutsi malaki ya Watutsi waliuawa na Wahutu wakali.
 
Kipindi kilichofuata kilikuwa cha [[Vita ya wenyewe kwa wenyewe]] katika sehemu mbalimbali za nchi.
 
Tangu mwaka [[1995]] [[Umoja wa Afrika]] na [[Umoja wa Mataifa]] zilijitahidi kujenga mapatano kati ya vikundi. Marais na [[wanasiasa]] walioshiriki katika [[jitihada]] hizo walikuwa pamoja na [[Julius Nyerere]], [[Boutros Boutros-Ghali]], [[Nelson Mandela]], [[Thabo Mbeki]] na rais wa [[Marekani]] [[Bill Clinton]].
 
Mapatano yalifikiwa na kusainiwa mwaka [[2000]] na washiriki karibu wote huko [[Arusha]]. [[Majadiliano]] yaliendelea hadi mwaka [[2003]] hatimaye vita ilisimamishwa. Mapatano yaliyofikiwa yanasema ya kwamba Watutsi pamoja na Watwa, ambao ni asilimia 15 za wananchi, watakuwa na asilimia 40 ya nafasi kwenye [[bunge]] na ya kwamba [[jeshi]]ni kila upande utashika asilimia 50 za nafasi. Pia kwenye [[senati]] ya bunge kila upande utakuwa na asilimia 50. <ref>[http://www.usip.org/library/pa/burundi/pa_burundi_08282000_toc.html Mapatano ya Arusha ya 2000 kuhusua mani na upatanisho kwa ajili ya Burundi, uk. Protocoll II, I, 11, 4a, Appendix I,I B 2-4]</ref>
 
Rais atachaguliwa na wananchi wote lakini mapatano yalisema rais wa kwanza atachaguliwa na bunge.
 
Pamoja na hayo, kuna [[Warundi]] wachache wanaojinasibu kuwa wao sio Watutsi wala Wahutu bali ni [[Waswahili]]. Hilo kabila lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na ndio wenyeji wa [[jiji]] la [[Bujumbura]], waliomsaidia [[Mwanamfalme]] [[Louis Rwagasore]] katika [[harakati]] za kutafuta [[uhuru]] wa Burundi.
 
==Dini==
Upande wa [[dini]], [[Wakristo]] ni 80-90% kati ya wakazi wote, hasa [[Wakatoliki]] (65%), halafu Waprotestanti (26%). [[Asilimia]] 5 wanafuata [[dini za jadi]] na 3 [[Uislamu]].
 
== Historia ==
Line 137 ⟶ 122:
 
Mwaka [[1966]] mwami alipinduliwa na mwanasiasa [[Michel Micombero]] aliyejitangaza kuwa rais na nchi kuwa [[jamhuri]]. Kuanzia hapo wanasiasa na watumishi wakubwa walio Wahutu walifukuzwa, kukamatwa au kuuawa.
 
== Utawala ==