Tofauti kati ya marekesbisho "Burundi"

6 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
(+ Watu na mpangilio)
 
==Watu==
Idadi ya watu ni takriban milioni 10 na nusu. Asilimia 46 % kati yao hawakumaliza miaka 15, umri wa wastani ni mnamo miaka 16.7. Watoto wengi wanakufa mapema, ni kama 62 kati ya 1000 wanaozaliwa (mwaka 2007). Kwa umri wa wastani ni mnamo miaka 54 pekee. Takriban 1.2% za wananchi wana UKIMWI<ref>[http://www.undp.org/content/dam/undp/library/corporate/HDR/2014HDR/HDR-2014-English.pdf UNDP Human Development Index; wastani ya Tanzania ni miaka 64]</ref>. Wanawake wanazaa kwa watsaniwastani watoto 6, hii nafasi ya juu ya tano duniani.
 
Jamii ya Burundi ni jamii ya vijijini, ni asilima 13 pekee wanaoishi katika miji<ref>[https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/by.html World Fact Book 2008]</ref>.
 
Pamoja na hayo, kuna [[Warundi]] wachache wanaojinasibu kuwa wao sio Watutsi wala Wahutu bali ni [[Waswahili]]. Hilo kabila lilikuwepo toka enzi za tawala za kifalme nchini humo, na ndio wenyeji wa [[jiji]] la [[Bujumbura]], waliomsaidia [[Mwanamfalme]] [[Louis Rwagasore]] katika [[harakati]] za kutafuta [[uhuru]] wa Burundi.
 
==Dini==
Upande wa [[dini]], [[Wakristo]] ni 80-90% kati ya wakazi wote, hasa [[Wakatoliki]] (65%), halafu Waprotestanti (26%). [[Asilimia]] 5 wanafuata [[dini za jadi]] na 3 [[Uislamu]].