Mzinga wa nyuki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 49 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q165107 (translate me)
Masahihisho
 
Mstari 1:
[[Image:Imker.JPG|thumb|right|200px|Fremu ya nsegasega ikitolewa nje ya mzinga wa kisasa]]
[[Image:Beehive 5.JPG|thumb|right|200px|Mzinga wa kisasa huwa na fremu za nsega ndani yake]]
 
 
'''Mzinga wa nyuki''' ni mahali au nafasi ambako kundi la [[nyuki]] inakaa pamoja na [[nsegasega]].
 
Porini nyuki wanatafuta tu shimo lolote au pango na kujenga nsegasega ndani yake. Baada ya kujua faida za [[asali]] watu wameanza kutengeneza mizinga ya nyuki yaani nafasi zinazofaa ili kuvuta nyuki waingie.
 
Namna ya mzinga wa kidesturi katika [[Afrika]] ni nusu mbili za kipande cha mgogo kombe zinazofungwa kwa kamba na kuacha nafasi katikati. Nyuki wanaotafuta nafasi wanapenda kuingia na kuanzisha kundi jipya mle.
Mstari 13:
Mizinga ya kisasa inaepukana na tatizo hili kwa muundo tofauti wa mzinga.
 
Mzinga huwa sanduku lenye fremu kadhaa ndani yake. Nyuki hutumia fremu kujenga nsegasega ndani ya fremu. Wakati wowote fremu inaweza kutolewa katika mzinga na kuangaliwa, kutolewa asali na kurudishwa bila kuua nyuki.
 
[[CategoryJamii:Wanyama]]
[[Jamii:Ufugaji]]