Ifakara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya 41.222.177.173 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Rotlink
Mstari 20:
 
[[Picha:Ifakara kwa macho ya ndege.jpg|thumb|250px|Ifakara kwa macho ya ndege]]
'''Ifakara''' ni makao makuu ya [[Wilaya ya Kilombero]] na kitovu cha eneo lenye mashamba makubwa ya [[miwa]]. Kuna kituo muhimu cha [[TAZARA]]. @FredyJohn137Kata ya Ifakara ilikuwa na wakazi wapatao 45,684 wakati wa sensa ya 2002.
 
Mji uko katika bonde la [[mto Kilombero]] takriban kilomita 420 kusini-magharibi mwa [[Dar es Salaam]]. Taasisi muhimu mjini ni Taasisi ya Afya Ifakara (Ifakara Health Institute) inayofanya uchunguzi wa kisayansi wa magonjwa kama [[malaria]] na [[ukimwi]]. [[Kanisa katoliki]] inaendesha [[Hospitali ya St Francis]] inayotarajiwa kuwa hospitali ya wilaya pamoja na chuo cha wauguzi.
 
Tangu tar. 14 Januari 2012 mji ni makao makuu ya [[jimbo katoliki ya Ifakara]].
 
==Picha za Ifakara==
<gallery>
Image:Ifakara kanisa katoliki St. Andrew.jpg|Kanisa katoliki la Mt. Andreas Ifakara
Image:Ifakara 2008 065.jpg|Barabara kuu mjini Ifakara 2008
image:Ifakara mjini 2008.jpg|Mjini Ifakara (2008)
</gallery>
 
==Marejeo ya Nje==
*[http://web.archive.org/web/20031217231607/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/kilombero.htm Sensa ya Kilombero]
*[http://www.ihrdc.or.tz/ Ifakara Health Institute]
*[http://www.ifakara.org/ki/index.php Ushirika wa marafiki wa Ifakara]
 
{{Kata za Wilaya ya Kilombero}}
 
{{mbegu-jio-morogoro}}
 
[[Jamii:Mkoa wa Morogoro|I]]
[[Jamii:Wilaya ya Kilombero]]