Myanmar : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
→Picha: utawala |
No edit summary |
||
Mstari 50:
|
}}
[[Picha:Burma en.png|thumb|left|Majimbo ya Myanmar]]▼
'''Myanmar''' ''(pia: Myama; Myamari)'' ni nchi ya [[Asia ya Kusini-Mashariki]] inayojulikana pia kwa jina la '''Burma''' au '''Bama'''. Imepakana na [[China]] upande wa kaskazini, [[Laos]] upande wa mashariki, [[Uthai]] kwa kusini-mashariki, [[Bangladesh]] na [[Uhindi]]. Kuna pwani la [[Bahari Hindi]] lenye urefu wa 2,000 km.
Mstari 108:
== Utawala ==
Myanmar imegawiwa kwa kusudi la utawala kwa madola 7 na mikoa 7. "Madola" ni maeneo yanayokaliwa na jumuiya na makabila ambayo ni tofauti na kundi kubwa la taifa linaloitwa ''Bamar''. Maeneo ya Bamar huitwa mikoa.
Madola ya jumuiya ndogo yapo zaidi karibu na mipaka ya nchi. Kwa kuanzia kwenye kusini-magharibi ni zifuatazo:
* (1) [[Dola la Rakhaing]] ''(Arakan)'' (Makao makuu: [[Akjab]])
|