Burundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+picha
Mstari 79:
 
==Watu==
Idadi ya watu ni takriban milioni 10 na nusu. Asilimia 46 % kati yao hawakumalizahawajamaliza miaka 15,. umriUmri wa wastani ni mnamo miaka 16.7 hivi.

Watoto wengi wanakufa mapema, ni kama 62 kati ya 1000 wanaozaliwa (mwaka [[2007]]). Kwa umri wa kifo kwa wastani ni mnamo miaka 54 pekeetu. Takriban 1.2% za wananchi wana UKIMWI<ref>[http://www.undp.org/content/dam/undp/library/corporate/HDR/2014HDR/HDR-2014-English.pdf UNDP Human Development Index; wastani ya Tanzania ni miaka 64]</ref>.

[[Familia]] ni imara kuliko zile za nchi zote za Afrika.

[[Wanawake]] wanazaa kwa wastani watoto 6,: hii nafasi ya juu ya tano duniani kote.
[[Picha:Pyramide Burundi.PNG|thumbnail|250px|Piramidi ya umri kwa Burundi]]
Jamii ya Burundi ni jamii ya vijijini, ni asilimaasilimia 13 pekee wanaoishi katika miji.<ref>[https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/by.html World Fact Book 2008]</ref>.
 
Vikundi kati ya wakazi ni hasa [[Wahutu]] (~85%), [[Watutsi]] (~14%) na [[Watwaa]] ([[mbilikimo]]) (chini ya 1%). Wote wanatumia lugha ya Kirundi.