Content deleted Content added
Umbo la dunia
+bahari
Mstari 1:
[[Picha:Blue Marble rotating 1024x1024.ogg|thumbnail|260px|Dunia yetu <small>(bofya pembetatu)</small>]]
[[Picha:Earth's Axis (small).gif|thumbnail|Dunia jinsi inavyozunguka kwenye mstari wa mhimili wake]]
'''Dunia''' (wakati mwingine pia: '''ardhi''') ni [[gimba la angani]] tunapoishi. Ni mojawapo ya [[sayari]] zinazotembea katika [[anga la ulimwengu|anga ya ulimwengu]]. Kuna sayari nane zinazolizunguka [[jua]], dunia yetu ikiwa sayari ya tatu katika [[mfumo wa jua na sayari zake]]. Masafa baina yake na jua ni kilomita milioni 150 au [[kizio astronomia]] 1. Dunia huchukua siku 365.256 kulizunguka jua, na masaa 23.9345 kuuzunguka mhimili wake na upana wake ni kilomita 12,756. Dunia huwa na [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]] 1.
 
Line 6 ⟶ 7:
 
== Umbo la dunia ==
 
[[Picha:Earth's Axis (small).gif|thumbnail|Dunia jinsi inavyozunguka kwenye mstari wa mhimili wake]]
Umbo la dunia inafanana na [[tufe]] au mpira inayozunguka kwenye mhimili wake. "Mhimili wa dunia" ni mstari kati ya [[ncha]] zake. Lakini si tufe kamili. Ina uvimbe kidogo kwenye sehemu ya [[ikweta]]; ilhali umbali kati ya ncha mbili ni [[kilomita]] 12,713 lakini umbali kati ya sehemu za kinyume kwenye ikweta ni 12,756 km yaani kipenyo hiki kinazidi takriban kilomita 43 kipenyo kati ya ncha na ncha. Tofauti hii inasababishwa na mzunguko wa dunia. [[Kani nje]] inasukuma sehemu za ikweta nje zaidi. Kwa hiyo mahali duniani palipo karibu zaidi kwa anga la nje si [[Mlima Everest]] kwenye [[Himalaya]] bali [[mlima Chimborazo]] nchini [[Ekuador]].<ref>[http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=9428163 Robert Krulwitch, The 'Highest' Spot on Earth?] Mlima Everest ni mlima mrefu duniani mwenye kimo cha juu ya uwiano wa bahari; lakini Chimborazo (mita 6,268 [[juu ya UB]]) iko karibu na ikweta hivyo msingi wake uko juu ya uvimbe wa ikweta kwa hiyo ni mahali ambako ni mbali zaidi na kitovu cha dunia na karibu zaidi kwa mwezi! </ref>
[[Picha:MapW.png|thumbnail|Nusutufe ya dunia yenye maji mengi ]]
Kwenye uso wake dunia huwa na tofauti kati ya nusutufe zake mbili. Nusu moja ina eneo kubwa la [[mabara]] yaani nchi kavu ambayo ni asilimia 47% ya sehemu hii. Kinyume nusutufe nyingine inafunikwa na maji ya [[bahari]] na eneo la nchi kavu ni asilimia 11% pekee za maeneo yake.
 
Kwa jumla dunia ni sayari ya pekee katika [[mfumo wa jua na sayari zake|mfumo wa jua]] yenye maji katika hali ya kiowevu usoni mwake. [[Bahari kuu]] ya dunia inashika asilimia 96.5 ya maji yote yaliyopo duniani. Maji ya bahari huwa na asilimia 3.5 [[chumvi]] ndani yake. Kwa pamoja maeneo ya maji hufunika 70.7% za uso wa dunia. Nhci kavu huwa na 29.3% na sehemu kubwa ya eneo la nchi kavu ni bara 7 za [[Asia]], [[Afrika]], [[Amerika Kaskazini]], [[Amerika Kusini]], [[Antarktika]], [[Ulaya]] na [[Australia]]. (Ulaya inaweza kuangaliwa pia kama sehemu ya Asia ikiwa kama [[rasi]] yake ya magharibi. Azimio la kutazama Australia kama bara na [[Greenland]] kama [[kisiwa]] tu ni azimio la hiari si la lazima).
 
Maeneo ya bahari kuu ya dunia kwa kawaida hugawiwa kwa bahari kubwa 3 za [[Pasifiki]], [[Atlantiki]] na [[Bahari Hindi]]. Sehemu ya chini baharini iko kwenye Mfereji ya Mariana katika Pasifiki (11,034 m chini ya UB), kwa wastani bahari huwa na [[kina]] cha mita 3,800.
 
== Muundo wa dunia ==