Content deleted Content added
kuondoa matini iliyokuwepo mara bili
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Blue Marble rotating 1024x1024.ogg|thumbnail|260px|Dunia yetu <small>(bofya pembetatu)</small>]]
[[Picha:Earth's Axis (small).gif|thumbnail|Dunia jinsi inavyozunguka kwenye mstari wa mhimili wake]]
'''Dunia''' (wakati mwingine pia: '''ardhi''') ni [[gimba la angani]] tunapoishi.
'''Dunia''' (wakati mwingine pia: '''ardhi''') ni [[gimba la angani]] tunapoishi. Ni mojawapo ya [[sayari]] zinazotembea katika [[anga la ulimwengu|anga ya ulimwengu]]. Kuna sayari nane zinazolizunguka [[jua]], dunia yetu ikiwa sayari ya tatu katika [[mfumo wa jua na sayari zake]]. Masafa baina yake na jua ni kilomita milioni 150 au [[kizio astronomia]] 1. Dunia huchukua siku 365.256 kulizunguka jua, na masaa 23.9345 kuuzunguka mhimili wake na upana wake ni kilomita 12,756. Dunia huwa na [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]] 1.
 
Ni mojawapo ya [[sayari]] zinazoelea katika [[anga la ulimwengu|anga ya ulimwengu]]. Kuna sayari nane zinazolizunguka [[jua]], dunia yetu ikiwa sayari ya tatu katika [[mfumo wa jua na sayari zake]].
Umri wa dunia hukadiriwa kuwa miaka bilioni 4.5<ref><nowiki>[http://sp.lyellcollection.org/content/190/1/205.abstract G. Brent Dalrymple: The age of the Earth in the twentieth century: a problem (mostly) solved, The Geological Society of London 2001]</nowiki>
 
</ref><ref>[http://www.talkorigins.org/faqs/faq-age-of-earth.html Chris Stassen, The Age of the Earth, (The Talk Origins Archive, 2005) </ref>. Ni mahali pa pekee katika [[ulimwengu]] panapojulikana kuna [[uhai]] ulioaminiwa kuanza miaka bilioni 3.5 iliyopita<ref>Schopf, JW, Kudryavtsev, AB, Czaja, AD, and Tripathi, AB. (2007). ''Evidence of Archean life: Stromatolites and microfossils.'' Precambrian Research 158:141–155.</ref>. Uhai unapatikana kwa spishi milioni 10-14 za viumbehai pamoja na wanadamu waliokadiriwa kuwa bilioni 7.2<ref>http://www.worldometers.info/world-population/</ref>.
Masafa baina yake na jua ni [[kilomita]] [[milioni]] 150 au [[kizio astronomia]] 1. Dunia huchukua siku 365.256 kulizunguka jua, na masaa 23.9345 kuuzunguka [[mhimili]] wake na [[upana]] wake ni kilomita 12,756.
 
Dunia huwa na [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]] 1.
 
[[Umri]] wa dunia hukadiriwa kuwa miaka [[bilioni]] 4.5<ref><nowiki>[http://sp.lyellcollection.org/content/190/1/205.abstract G. Brent Dalrymple: The age of the Earth in the twentieth century: a problem (mostly) solved, The Geological Society of London 2001]</nowiki>
</ref><ref>[http://www.talkorigins.org/faqs/faq-age-of-earth.html Chris Stassen, The Age of the Earth, (The Talk Origins Archive, 2005) </ref>.
 
</ref><ref>[http://www.talkorigins.org/faqs/faq-age-of-earth.html Chris Stassen, The Age of the Earth, (The Talk Origins Archive, 2005) </ref>. Ni mahali pa pekee katika [[ulimwengu]] panapojulikana kuna [[uhai]] ulioaminiwa kuanza miaka bilioni 3.5 iliyopita<ref>Schopf, JW, Kudryavtsev, AB, Czaja, AD, and Tripathi, AB. (2007). ''Evidence of Archean life: Stromatolites and microfossils.'' Precambrian Research 158:141–155.</ref>. Uhai unapatikana kwa spishi milioni 10-14 za viumbehai pamoja na wanadamu waliokadiriwa kuwa bilioni 7.2<ref>http://www.worldometers.info/world-population/</ref>.
 
Uhai unapatikana kwa [[spishi]] milioni 10-14 za [[viumbe hai]] pamoja na [[binadamu|wanadamu]] waliokadiriwa kuwa sasa bilioni 7.2<ref>http://www.worldometers.info/world-population/</ref>.
 
== Umbo la dunia ==
 
[[Umbo]] la dunia linafanana na [[tufe]] au [[mpira]] unaozunguka kwenye mhimili wake. "Mhimili wa dunia" ni [[mstari]] kati ya [[ncha]] zake.
Umbo la dunia inafanana na [[tufe]] au mpira inayozunguka kwenye mhimili wake. "Mhimili wa dunia" ni mstari kati ya [[ncha]] zake. Lakini si tufe kamili. Ina uvimbe kidogo kwenye sehemu ya [[ikweta]]; ilhali umbali kati ya ncha mbili ni [[kilomita]] 12,713 lakini umbali kati ya sehemu za kinyume kwenye ikweta ni 12,756 km yaani kipenyo hiki kinazidi takriban kilomita 43 kipenyo kati ya ncha na ncha. Tofauti hii inasababishwa na mzunguko wa dunia. [[Kani nje]] inasukuma sehemu za ikweta nje zaidi. Kwa hiyo mahali duniani palipo karibu zaidi kwa anga la nje si [[Mlima Everest]] kwenye [[Himalaya]] bali [[mlima Chimborazo]] nchini [[Ekuador]].<ref>[http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=9428163 Robert Krulwitch, The 'Highest' Spot on Earth?] Mlima Everest ni mlima mrefu duniani mwenye kimo cha juu ya uwiano wa bahari; lakini Chimborazo (mita 6,268 [[juu ya UB]]) iko karibu na ikweta hivyo msingi wake uko juu ya uvimbe wa ikweta kwa hiyo ni mahali ambako ni mbali zaidi na kitovu cha dunia na karibu zaidi kwa mwezi! </ref>
 
Umbo la dunia inafanana na [[tufe]] au mpira inayozunguka kwenye mhimili wake. "Mhimili wa dunia" ni mstari kati ya [[ncha]] zake. Lakini si tufe kamili. Ina [[uvimbe]] kidogo kwenye sehemu ya [[ikweta]]; ilhali [[umbali]] kati ya ncha mbili ni [[kilomita]] 12,713 lakini umbali kati ya sehemu za kinyume kwenye ikweta ni km 12,756 km, yaani [[kipenyo]] hiki kinazidi takriban kilomita 43 kipenyo kati ya ncha na ncha. Tofauti hii inasababishwa na [[mzunguko]] wa dunia. [[Kani nje]] inasukuma sehemu za ikweta nje zaidi. Kwa hiyo mahali duniani palipo karibu zaidi kwana anga la nje si [[Mlima Everest]] kwenye [[Himalaya]] bali [[mlima Chimborazo]] nchini [[Ekuador]].<ref>[http://www.npr.org/templates/story/story.php?storyId=9428163 Robert Krulwitch, The 'Highest' Spot on Earth?] [[Mlima]] Everest ni mlima mrefu duniani mwenyewenye [[kimo]] cha juu ya [[uwiano wa bahari]]; lakini Chimborazo ([[mita]] 6,268 [[juu ya UB]]) iko karibu na ikweta, hivyo msingi wake uko juu ya uvimbe wa ikweta, kwa hiyo ni mahali ambako ni mbali zaidi na [[kitovu]] cha dunia na karibu zaidi kwana mwezi! </ref>
 
[[Picha:MapW.png|thumbnail|Nusutufe ya dunia yenye maji mengi ]]
Kwenye uso wake dunia huwa na tofauti kati ya nusutufe zake mbili. Nusu moja ina eneo kubwa la [[mabara]] yaani [[nchi kavu]] ambayo ni [[asilimia]] 47% ya sehemu hii. Kinyume nusutufe nyingine inafunikwa na maji ya [[bahari]] na eneo la nchi kavu ni asilimia 11% pekee za maeneo yake.
 
Kwa jumla dunia ni sayari pekee katika [[mfumo wa jua na sayari zake|mfumo wa jua]] yenye [[maji]] katika hali ya [[kiowevu]] usoni mwake. [[Bahari kuu]] ya dunia inashika asilimia 96.5 ya maji yote yaliyopo duniani. Maji ya bahari huwa na asilimia 3.5 [[chumvi]] ndani yake.
 
Kwa jumla dunia ni sayari ya pekee katika [[mfumo wa jua na sayari zake|mfumo wa jua]] yenye maji katika hali ya kiowevu usoni mwake. [[Bahari kuu]] ya dunia inashika asilimia 96.5 ya maji yote yaliyopo duniani. Maji ya bahari huwa na asilimia 3.5 [[chumvi]] ndani yake. Kwa pamoja maeneo ya maji hufunika 70.7% za uso wa dunia. NhciNchi kavu huwa na 29.3% na sehemu kubwa ya eneo la nchi kavu ni bara 7 za [[Asia]], [[Afrika]], [[Amerika Kaskazini]], [[Amerika Kusini]], [[Antarktika]], [[Ulaya]] na [[Australia]]. (Ulaya inaweza kuangaliwa pia kama sehemu ya Asia ikiwa kama [[rasi]] yake ya magharibi. Azimio la kutazama Australia kama bara na [[Greenland]] kama [[kisiwa]] tu ni azimio la hiari si la lazima).
 
Maeneo ya bahari kuu ya dunia kwa kawaida hugawiwa kwa bahari kubwa 3 za [[Pasifiki]], [[Atlantiki]] na [[Bahari Hindi]]. Sehemu ya chini baharini iko kwenye [[Mfereji ya Mariana]] katika Pasifiki (mita 11,034 m chini ya UB),. kwaKwa [[wastani]] bahari huwa na [[kina]] cha mita 3,800.
 
== Muundo wa dunia ==