Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 69:
Dunia inazungukwa na [[uga sumaku]] yaani mistari ya nguvu ya [[kisumaku]]. Sababu yake ni ya kwamba [[kiini cha dunia]] inafanywa na [[chuma]] chenye tabia kama [[sumaku]] kubwa. Tabia hii inasababishwa na mwendo wa mikondo ya chuma cha moto kilichoyeyuka katika kiini cha nje cha dunia. Mistari ya nguvu ya sumaku inatoka nje kwenye ncha ya kusini na kurudi ndani ya dunia kwenye ncha ya kaskazini. Tabia hii ni msingi kwa kazi ya dira ambako sindano ya dira huvutwa daima na ncha sumaku ya dunia na kuelekea kaskazini muda wote.
 
Uga sumaku wa dunia ni kinga muhimu kwa uhai wote duniani. Dunia inapokeinapigwa muda wote na mnururisho kutoa jua kwa njia ya "[[upepo wa jua]]". Mnururisho uohuo ni nuru pamoja miale ya hatari. Uga sumaku unakengeusha sehemu kubwa ya mnururisho hatari hadi unapita kando la dunia na kutofika kwenye uso wa dunia.
 
== Dunia kama mahali pa maisha ==