Hija : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
idadi za wahijji
Mstari 12:
* [[Uislamu|Waislamu]] huwa na [[hajj]] kutembelea [[Makka]], [[Washia]] wanatembela pia ma[[kaburi]] ya ma[[imamu]] wao huko [[Najaf]], [[Karbala]], [[Mashhad]] na penginepo. Mwislamu aliyetimiza safari hii anapokea [[cheo]] cha "[[alhaji]]" kama sehemu ya jina lake.
 
Hija mashuhuri dunani inawezakana ni hajj ya Kiislamu kwenda Makka. Lakini hija mbalimbali za Uhindu inazina namba kubwa zaidi ya mahudhurio. [[Kumbh Mela]] huko Allahabad kwa mto Ganges ilikuwa na wahijji milioni 60 mwaka 2001.<ref>[http://www.arcworld.org/projects.asp?projectID=500 tazama kifungo "Notes on Kumbh Mela numbers"]</ref> Pia ndani ya Uislamu kuna watu zaidi wanaohudhuria umra (ziara za Makka nje ya hajj) au ziara ya [[Karbala]].
 
Kiasili neno "hija" katika [[Kiswahili]] lilimaanisha tu safari ya Waislamu kwenda Makka kwa sababu katika [[utamaduni]] wa [[Waswahili]] hili lilikuwa safari ya kidini pekee yenye jina maalumu.