Siasa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 23:
===Demokrasia Shirikishi===
katika aina hii ya Demokrasia wachache hupewa [[dhamana]] na wengi katika [[uwakilishi]] wa jamii katika maamuzi.
 
Wachache uchaguliwa na wengi kwa njia ya Demokrasia huru na haki kwa kufuata Katiba ya nchi hiyo. Mfano: Wa[[bunge]] uwakilisha wananchi wao katika kuleta maendeleo na kuishauri serikali juu ya maendeleo ya nchi.
==Demokrasia==
ni mfumo unatoa fursa ya madaraka kwa [[umma]] moja kwa moja au kutokana na kuwakilishwa.