Mapafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Heart-and-lungs.jpg|thumbnail|Mapafu pamoja na [[moyo]] ya mwanadamu.]]
[[Picha:Diafragma ademhaling.gif|thumbnail||'''Kazi ya mapafu''' <br /><small>(Njia ya hewa inaanza mdomoni na puani ; musulimisuli zaya kiwambo tumboni (njano-nyekundu) zinajikaza au kulegeza na hivyo kupanua au kupunguza ukubwa wa mapafu (bluluubuluu nyeupe/zambarau)</small>]]
 
'''Mapafu''' ni sehemu ya [[mwili]] inayoingiza [[oksijeni]] mwilini na kuituma kwenda kwenye [[seli]] za mwili.

Ni kawaida kwa wanyama wa [[faila]] ya [[chordata]] walio na [[uti wa mgongo]] na kupumua [[hewa]].

Hutokea kwa [[jozi]] maana yake nikuna mapafu mawili, si moja tu kama [[moyo]].
 
Kuna pia [[samaki]] na [[konokono]] kadhaa wenye mapafu.
 
Mapafu huvuta [[hewa]] ndani ambakoambamo oksijeni ya hewa inaingizwa katika [[damu]] na kupelekwa kwenda seli za mwili.

Ndani ya mapafu kuna viputo vidogo sana na hapaambavyo nindio mwisho wa njia ya hewa kutoka nje. Damu inazunguka viputo hivi katika mishipa midogo inayotenganishwa na nafasi ya hewa kwa [[ngozi]] nyembamba sana. Oksijeni inaweza kupita kwenye ngozi na kuingia katika damu inapopokelewainapopokewa na [[seli za damu]] [[nyekundu]].
 
Chordata walio wengi huwa na mapafu mawili.
 
Kuna wanyama wadogo wasio na mapafu. Wachache wanapokea oksijeni yote kupitia [[ngozi]].

Njia nyingine ni [[wadudu]] walio na [[neli]] nyingi ndogo zinazoingiza hewa mwilini na kupokea oksijeni kupitia [[ukuta|kuta]] za neli hizihizo.
 
== Viungo vya Nje ==