Upumuo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 19:
 
[[Wadudu]] huwa na mabomba membamba ''([[ing.]] trachea)'' yanayoelekea ndani ya miili yao na hewa inaingia hapa; ngozi nyembamba ndani ya mwili inaruhusu kuingia kwa oksijeni mwilini.
 
Wanyama wadogo sana wanatosheleka kupokea oksijeni kupitia [[ngozi]] pekee kwa hiyo hawana mapafu wala trachea. Wote wanaotumia njia hii wana umbo bapa sana au umbo la minyoo pia wanaishi katika mazingira penye unyevu. Mfano ni [[nyungunyungu]].
 
==Marejeo==