Kinywa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[File:Mouth illustration-Otis Archives.jpg|thumb|Kielezo cha kinywa cha [[binadamu]]]]
'''Kinywa''' ni uwazi ndani ya [[kichwa]] mwenye shughuli tofauti kwa binadamu na wanyama wengi wenye [[uti wa mgongo
* ni mahali pa kuingiza [[chakula]] mwilini hivyo ni chanzo cha [[mfumo wa mmeng'enyo wa chakula]]
* ni nafasi ya kuingiza hewa mwilini hivyo pamoja na pua ni chanzo cha mfumo wa upumuo
* ni mahali pa kutokea kwa [[sauti]] ambako sauti inayotengenezwa kooni inapokea umbo lake kwa msaada wa ulimi na midomo hivyo ni sehemu muhimu ya uwezo wetu wa kuwasiliana na wengine.
Kinapatikana kwa karibu wanyama wote wenye seli nyingi lakini kwa wanyama sahili kazi yake ni kuingiza chakula pekee.
Sehemu za kinywa cha binadamu ni pamoja na: [[jino|meno]], [[ulimi]] na [[ufizi|fizi]].▼
▲Sehemu za kinywa ni pamoja na: [[jino|meno]], [[ulimi]] na [[ufizi|fizi]].
{{mbegu-anatomia}}
|