Uti wa mgongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|150px| - Uti wa mgongo katika mwili wa kibinadamu Picha:Gray 111 - Vertebral column-coloured.png|thumbnail|Sehem...'
 
Mstari 9:
 
== Sehemu za uti wa mgongo ==
Uti wa mgongo huangaliwaunafanywa na pingili 33-35, kutegemeana na umri wa mtu; tofauti hutokea kwenye sehemu ya mkia. Huangaliwa na matibabu kwa sehemu kuu tano:
 
* Uti wa shingoni ''(ing. cervical, lat. pars cervicalis)'' : inashika fuvu ya kichwa (nyekundu). Ina pingili 7. Mbili za juu zinaunganisha fuvu na utu wa mgongo.