Uti wa mgongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 13:
* '''Uti wa shingoni''' ''(ing. cervical, lat. pars cervicalis)'' : inashika fuvu ya kichwa (nyekundu). Ina pingili 7. Mbili za juu zinaunganisha fuvu na utu wa mgongo.
 
* '''Uti wa kifuani''' ''(ing. thoraxthoracic, lat. pars thoracica)'': sehemu hii (buluu) inashika [[mabavu]] yote mahali pake. Ina pingili 12.
 
* '''Uti wa kiuno''' ''(ing. lumbar, lat. pars lumbalis)'': sehemu hii inaunganisha mwili wa juu na mwili wa chini. Inamwezesha mwandamu kugeuza mwili bila kusogeza miguu. Ina pingili 5 (njano).