Uti wa mgongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 11:
Uti wa mgongo unafanywa na pingili au vetebra 33-35, kutegemeana na umri wa mtu; tofauti hutokea kwenye sehemu ya kifandugu. Pingili 24 za juu zinatenganishwa kwa [[visahani vya vetebra]]. Huangaliwa na matibabu kwa sehemu kuu tano:
 
* '''Uti wa shingoni''' ''(ing. cervical, lat. pars cervicalis)'' : inashika fuvu ya kichwa (nyekundu). Ina pingili 7. Mbili za juu zinaunganisha fuvu na utuuti wa mgongo.
 
* '''Uti wa kifuani''' ''(ing. thoracic, lat. pars thoracica)'': sehemu hii (buluu) inashika [[mabavu]] yote mahali pake. Ina pingili 12.