Wikipedia:Msimamo wa kutopendelea upande : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating interwiki links, now provided by Wikidata on d:q4656487
Mstari 37:
Baadaye tunaweza kuongeza habari zake zisizokubaliwa na wote, kwa mfano:
# alisifiwa mara nyingi kwa sababu aliamuru kujengwa kwa majengo mazuri katika mji mkuu anakumbukwa kama mjenzi mkuu wa taifa. Lakini wengine wanadai eti mipango yote yalianzishwa tayari wakati wa babake aliyemtangulia na mbunifu wa baba aliwajibika kwa uzuri wa kazi.
 
# wataalamu wa magharibi ya nchi husema alijenga umoja wa taifa na kusambaza lugha ya kitaifa. Lakini wataalamu wa mashariki wa nchi husema ya kwamba aikandamiza vikali utamaduni wa sehemu ile pamoja na wasemaji wa lugha ya mashariki na kuwaua wengi walijaribu kuwafundisha watoto wao.
 
# watalaamu watetezi wake wanasema alifaulu kutetea taifa dhidi ya tishio la nchi jirani kwa njia ya vita; lakini wengine wamegundua nyaraka zake inapoonekana ya kwamba alipanga kwa siri kushambulia nchi jirani akalipa wanasiasa wa huko kutamka tishio dhidi ya nchi yake