Nanomita : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 4:
Kipimo hiki hutumiwa kwa kutaja vipimo katika [[fizikia]] ya [[atomi]] na [[molekuli]], pia katika [[biolojia]] kwa vipimo vya [[kiini cha seli]] na [[jenetikia]]. Kipenyo cha atomi ya heli ni takriban 0.1 nm; virusi nyingi vina kipenyo cha baina 20 nm na 300 nm.
Nanomita ni pia kipimo cha kawaida
Kipimo hiki kinatumiwa sana kwa makadirio katika [[teknolojia ya nano]].
Neno latokana na lugha ya ([[Kigiriki]]: ''nanos'' (νάνος, "kibete") pamoja na neno "mita" ([[gir.]]μέτρον, metrοn, "kizio cha kipimo")
|