Visakale : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Visakale''' (vilevile: '''tarihi''') ni hadithi fupifupi zinazosimulia matukio ya maalumu ya kihistoria. Matukio haya yanaweza kuwa ya kweli au ya kubuni. Ta...'
 
Sawazisho dogo tu.
Mstari 1:
'''Visakale''' (vilevile: '''tarihi''') ni hadithi fupifupi zinazosimulia matukio ya maalumu ya kihistoria. Matukio haya yanaweza kuwa ya kweli au ya kubuni. Tarihi inaweza kuhusu historia ya wafalme, koo za utawala, kumbukumbu za kutokea kwa koo fulani, magonjwa, vita, njaa na kadhalika. Hivyo basi wahusika wake mara nyingi huwa ni binadamu ambao huewahupewa uwezo mkubwa au mdogo mno kulingana na matukio yanayosimuliwa.
Dhima ya tarihi ni kuikumbusha au kuitahadharisha jamii juu ya tukio fulani ili lieziwe au likomeshwe. Kama ilivyo ngano, tarihi, pia huanza kwa "Paukwa.... pakawa"....
==Tazama pia==
*[[Fasihi simulizi]]