Pieter Brueghel Mzee : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
tahajia
Mstari 2:
[[Picha:Pieter Bruegel the Elder - The Tower of Babel (Vienna) - Google Art Project - edited.jpg|thumb|300px|Mnara wa Babeli]]
[[Picha:BruegelPortrait.jpg|thumb|Pieter Breughel alivyojichora mwenyewe]]
'''Pieter Brueghel''' (* kati ya [[1525]] na [[1530]] mjini [[Breda]]; † [[5 Septemba]] [[1569]], [[Brussels]]) alikuwa mchoraji [[Uholanzi|Mholanzi]] wa [[karne ya 16]]. Anaitwa "Brueghel Mzee" ili kumtofautisha na mwanawe [[Pieter Brueghel Kijana]] aliyekuwa mchoraji mashuhuri pia. Anahesabiwa kati ya wachoraji muhimu zaidi wa [[Zama yaza Mwangaza]] ya Ulaya.
 
Brueghel alijifunza sanaa ya uchoraji mjini [[Antwerpen]] hadi kufikia kiwango cha fundi mwalimu. Mnamo 1552-1555 alisafiri [[Italia]] alikoangalia sanaa ya karne nyingi.