Historia ya awali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 8:
 
Neno hilo lilitumika katika Ufaransa kuanzia [[miaka ya 1830]] kuelezea kipindi kabla ya [[uandishi]], na baadaye likaingizwa na [[Daniel Wilson]] katika [[Kiingereza]] [[mwaka]] [[1851]].
 
==Vipindi vya historia ya awali==
Sehemu kubwa ya historia ya kibinadamu ilitokea kabla ya maandishi kugunduliwa. Kuhusu zamani hii tuna habari kutokana utafiti wa [[akiolojia]]. Tuna mabaki ya vifaa na majengo ya siku zile lakini tunakosa maelezo jinsi yanavyopatikana tangu watu walianza kuandika kumbukumbu.
 
Kati ya vipindi vya historia ya awali ni [[zama za mawe]]. Watu walifanya maendeleo muhimu kama kubuni vifaa vya kwanza, kilimo, na kuanzisha vijiji na [[miji]] ya kwanza.
 
Hata vyanzo vya teknolojia za metali kama zama za shaba na zama za chuma vilitokea kabla ya kugundua maandsihi katika sehemu nyingi za dunia.
 
Lakini mifano ya kwanza ya utamaduni ya kimaandishi ilitokea wakati wa kubuni matumizi ya shaba na bronzi huko [[Misri]] na [[Mesopotamia]].
 
==Tanbihi==