Historia ya awali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 12:
Sehemu kubwa ya historia ya kibinadamu ilitokea kabla ya maandishi kugunduliwa. Kuhusu zamani hii tuna habari kutokana utafiti wa [[akiolojia]]. Tuna mabaki ya vifaa na majengo ya siku zile lakini tunakosa maelezo jinsi yanavyopatikana tangu watu walianza kuandika kumbukumbu.
 
Kati ya vipindi vya historia ya awali ni [[zama za mawe]]. Watu walifanya maendeleo muhimu kama kubuni vifaa vya kwanza, [[kilimo]], na kuanzisha vijiji na [[miji]] ya kwanza.
 
Hata vyanzo vya teknolojia za metali kama zama za shaba na zama za chuma vilitokea kabla ya kugundua maandsihi katika sehemu nyingi za dunia.