Tajino : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Jino muundo.jpg|thumbnail|Nafasi ya tajino kwenye muundo wa jino]]
'''Tajino''' ni jina kwala kichwa cha [[jino]] katika elimu ya [[uganga wa meno]]. Neno limebuniwa nakwa manenokuunganisha kwamaneno "taji" na "jino" <ref>tazama [[KAST]]</ref>.
 
Sehemu ya tajino inafunikwa kwa [[enameli ya jino]] ambayo inafanya uso mgumu wa jino mwenyewenye kazi ya kutafuna vyakula.
 
Kama tajino imeharibika [[daktari wa meno]] anaweza kuitengeza kwa kuongeza tajino bandia akitumia aina za [[saruji]] ya meno kama [[maligamu]] au [[metali]].
<ref name="crown and bridge">{{cite web|title=American Dental Association Crown and Bridge|url=http://www.ada.org/productguide/c/125/Crown-and-Bridge|accessdate=2013-10-29}}</ref>
 
==MarejeoTanbihi==
{{reflist}}
*Ash, Major M. and Stanley J. Nelson. ''Wheeler’s Dental Anatomy, Physiology, and Occlusion.'' 8th edition. 2003. ISBN 0-7216-9382-2.
 
==Marejeo==
*Ash, Major M. and Stanley J. Nelson. ''Wheeler’s Dental Anatomy, Physiology, and Occlusion.'' 8th edition. 2003. ISBN 0-7216-9382-2.
 
{{mbegu-anatomia}}
 
[[Category:Meno]]