Vitundu vya mataya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Alveole zahn.jpg|thumbnail|Kitundu cha taya la [[ng'ombe]].]]
'''Vitundu vya mataya''' (kwa [[lat.Kilatini]] alveolus dentalis , kwa [[ing.Kiingereza]] dental alveolus) ni nafasi katika [[mataya]] zinazoshika [[vizizi vya meno]].
 
Pamoja na [[sementi ya meno]] na [[ufizi wa meno]] vitundu hivi ni sehemu ya mfumo unaoshika jino mahali pake tayani.
 
{{mbegu-anatomia}}
 
[[jamii:meno]]