Moluska : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|''[[Cornu aspersum'', aina mojawapo ya konokono.]] '''Moluska''' ni wanyama wasio na mifupa ambao wanaish...'
 
Nyongeza sanduku la uainishaji
Mstari 1:
{{Uainishaji
[[File:Snail-wiki-120-Zachi-Evenor.jpg|thumb|''[[Cornu aspersum]]'', aina mojawapo ya konokono.]]
| rangi = #D3D3A4
'''Moluska''' ni [[wanyama]] wasio na [[mifupa]] ambao wanaishi zaidi [[Maji|majini]], ambamo ni [[asilimia]] 23 za wanyama wote [[Uainishaji wa kisayansi|walioainishwa]]. Lakini wengine wanaishi katika [[nchi kavu]], kama vile [[konokono]].
| jina = Moluska
| picha = Snail-wiki-120-Zachi-Evenor.jpg
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = ''Cornu aspersum'', spishi ya konokono wa nchi kavu
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Mollusca]] <small>(Wanyama bila mifupa wenye ulimi kama tupa)</small>
| bingwa_wa_faila = [[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758
| subdivision = '''Ngeli 9:'''<br>
* [[Aplacophora]]
* [[Bivalvia]]
* [[Cephalopoda]]
* [[Gastropoda]]
* †[[Helcionelloida]]
* [[Monoplacophora]]
* [[Polyplacophora]]
* †[[Rostroconchia]]
* [[Scaphopoda]]
}}
'''Moluska''' ni [[mnyama|wanyama]] wasio na [[mfupa|mifupa]] ambao wanaishi zaidi [[Maji|majini]], ambamo ni [[asilimia]] 23 za wanyama wote [[Uainishaji wa kisayansi|walioainishwa]]. Lakini wengine wanaishi katika [[nchi kavu]], kama vile [[konokono]] wengi.
 
Siku hizi kuna [[spishi]] 85,000 za wanyama hao, nazo ni tofauti sana. Spishi nyingine zimekoma.