Mnururisho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Masahihisho aliyefanya 62.171.197.115 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
Mstari 2:
[[File:Nuru katika spektra 1.jpg|thumb|400px|Nuru inayoonekana kwa macho ni sehemu tu ya mnururisho wa sumakuumeme. Mawimbi ya nuru ni sehemu ya mawimbi mengine ya sumakuumeme]]
 
Mifano ya mnururisho inayoonekana au kusikika kirahisi ni [[nuru]] na [[joto]]. Binadamu ana [[milango ya fahamu]] kwa ajili mnurirsho huo kama vile [[macho]] kwa nuru na [[neva]] kenye [[ngozi]] kwa joto. Mifano ya mnururisho isiyoonekana ni mnururisho wa [[sumakuumeme]] katika [[redio]] na [[TV]], [[eksirei]] au kinyuklia. Kuna viumbe vyenye milango ya fahamu kwa minururisho mingine, kwa mfano samaki au ndege zinazotambua uga za umeme au [[sumaku]]. [[Nyuki]] huona [[infraredi]] isiyoonekana kwa macho ya kibinadamu.
Mifano ya mnururisho inayoonekaIFBFIUE32H082HR N8EHBFS9WEOSXSHDWDU
 
== Tabia za mnururisho ==
Mnururisho uko kati ya sehemu za fizikia zilizochunguliwa zaidi na sayansi na kupata matumizi mengi katika teknolojia ya kibinadamu.
 
Hata hivyo wataalamu hawana uhakika mnururisho mwenyewe ni nini hali halisi. Kadiri na mbinu za upimaji huonekana mara kama mwendo wa vyembe yaani vipande vidogo sana za mada (kama vile [[elektroni]] au [[nyutroni]]) na mara kama wimbi yaani mwendo wa nishati isiyo na umbo wa kimada. hasana suwjua daasdf
 
Mnururisho unaweza kuathiri vitu vinavyoguswa nao. kama nishati yake ni kubwa ya kutosha inaweza kusababisha halijoto kupanda, mabadiliko ya kikemia au pia madhara kwa vitu na viumbe hai.