Mvutano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 110 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11412 (translate me)
taipo kadhaa, viungo
Mstari 1:
'''Graviti''' (pia: '''nguvu mvutano''') ni kani ya uvutano iliyopo kati ya magimba yote ya ulimwengu. Kila gimba lenye [[masi]] linavuta magimba yote mengine yenye masi.
 
Hii ni sababu ya kwamba tunatembea duniani badala ya kuelea kwa sababu masi ya [[dunia]] inatuvuta kuelekea kitovu chake. Sisi tuna uvutano wa dunia pia lakini hali halisi kani hii ni ndogo mno kulingana na nguvu ya masi kubwa ya dunia. Wakati huohuo dunia yetu inavutwa na [[jua]] na hii ni sababu ya kwamba dunia inazunguka jua katika [[obiti]] na haiwezi kukimbia mbali nayo.
 
Tukitupa jiwe hewani itaanguka tena chini. Hii ni kwa sababu kani ya mkono ilipeleka jiwe kwa njia ya kwenda juu lakini kani ya uvutano wa dunia inairudisha.
 
Tabia ya kuvutana inaonekana vema atikati ya unia[[dunia]] na [[mwezi]]. Dunia ni ubwakubwa inaivutainauvuta mwezi na kuushika kwenye njia yake ya kazungukakuzunguka. Lakini wakati huohuo mwezi unavuta pia dunia na hii inaonekana baharini katika mabadiliko ya [[maji kupwa]] na maji kujaa. Maji ya [[bahari]] inavutwa na mwezi kiasi cha kwamba sehemu ya bahari iliyo moja kwa moja chini ya mwezi iko nusu mita juu ya wastani wa uso wa bahari yote.
 
[[Isaac Newton]] anajulikana kama mtaalamu aliyeweza kueleza graviti mara ya kwanza kama utaratibu wa kimsingi wa kisayansi.
 
{{mbegu-fizikia}}