Biashara ya utumwa kupitia Atlantiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+picha
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Pembetatu mchoro.jpg|thumb|px=500|Mfano wa mchoro wa Biashara ya Pembetatu]]
'''Biashara ya utumwa kupitia Atlantiki''' (vilevile: '''Biashara ya utumwa ya pembetatu''' au '''Biashara ya utumwa ya ng'ambo ya Atlantiki''') ni jina la kutaja aina ya [[biashara]] ambayo ilikuwa ikifanyika baina ya [[Bara|mabara]] matatu, yaani, [[Afrika]] (upande wa [[magharibi]]), [[Amerika]] na [[Ulaya]] (hasa katika pande za magharibi mwa Ulaya).

Biashara ilihusisha hasa [[wafanyabiashara]] kutoka Ulaya ambao walikuja na [[bidhaa]] za viwandani[[viwanda]]ni na kubadilishanakuvibadilisha na [[watumwa] na vitu vya thamani kubwa barani Afrika kama vile [[dhahabu]], [[almasi]], [[fedha]] na kadhalika ambapo wao walichukua watumwa na bidhaa nyingine na kwenda nazo Amerika.
 
Wakiwa huko, watumwa walizalisha mali-ghafi[[malighafi]] za [[kilimo]] na [[madini]] ambapo [[Wazungu]] walizichukua na kuzipeleka Ulaya kwa ajili ya kutengenezea bidhaa nyingine.
Watumwa waliochukuliwa Afrika walisafirishwa kwa njia ya meli hadi huko Amerika kupitia [[Bahari ya Atlantiki]] ambapo walitiwa utumwani katika sekta mbalimbali za kiuchumi. Mahusiano ya biashara ya namna hiyo kumeunda "Umbo la Pembetatu" ambalo likaja-kujulikana kama "Biashara ya Pembetatu".
 
Watumwa waliochukuliwa Afrika walisafirishwa kwa njia ya [[meli hadi huko Amerika]] kupitia [[Bahari ya Atlantiki]] hadi huko Amerika ambapo walitiwa utumwani katika sekta mbalimbali za kiuchumiki[[uchumi]]. Mahusiano ya biashara ya namna hiyo kumeundayameunda "Umbo la Pembetatu" ambalo likaja- kujulikana kama "Biashara ya Pembetatu".
 
==Historia==
===Kipindi===
Biashara hii inaaminika ilianza mwishoni mwa [[karne ya 15]] na kukua hadi mwishoni mwa [[karne ya 18]] ambapo ilikomeshwa mazima.
===Washiriki===
Washiriki wakuu wa biashara hii walikuwa wanatoka Ulaya ambao hao ndio waliokuwa wanashikiriawanashikilia biashara hii. Wengine walikuwa wenyeji wa Kiafrika ([[Watemi]]) ambao walikuwa wanatoa watumwa kwa wafanyabishara Wazungu kwa kubadilishana nanao bidhaa za viwandani. Kituo kikuu cha kaunziakuanzia shughuli hizi za Biashara ya Utumwa ya Pembetatu ilikuwa Ulaya na biashara pia ilimalizikia hukohuko Ulaya (kifupi: Biashara inaanza barani Ulaya na kumalizikia barani Ulaya).
==Biashara zilizohusishwa==
===Kutoka Ulaya===
Kutoka Ulaya, wafanyabishara walileta Afrika bidhaa za viwandani kama vile [[nguo]], [[vinywaji]], [[sigara]], [[bunduki]] na unga wake, [[mapambo]], vyombo vya kupikia na vinginevyo ambavyo vilibadilishana kwa watumwa na mali njema nyinginezo za Kiafrika.
===Kutoka Afrika===
Kutoka Afrika, wafanyabiashara wa Kizungu walibadilishana biashara zao na kuchukua watumwa na bidhaa nyingine za thamani kama vile dhahabu, pembe za ndovu, fedha, na ngozi za wanyama. Watumwa walichukuliwa hadi Amerika na IndiIndia-za-Magharibi ([[Visiwa]] vya [[Karibi]]) ili kufanya [[kazi]] katika mashambama[[shamba]] makubwa na [[migodi]] iliyoanzsishwailiyoanzishwa na Wazungu.
===Kutoka Amerika===
Kutoka Amerika, Wazungu walichukua malighafi za kilimo kwa mfano [[pamba]], [[mkonge]], [[majani ya chai]] na [[tumbaku]] na [[madini]] kisha kwenda nayo Ulaya kwa ajili ya kuzalisha viwandani.
Line 18 ⟶ 23:
Kuna sababu mbalimbali zilizochangia kuibuka na kukua kwa Biashara ya Utumwa ya Pembetatu - nazo ni kama ifuatavyo:
===(a) Kuibuka kwa daraja la wafanyabiashara huko Ulaya===
Kuibuka kwa wafanyabiashara barani Ulaya kwenye [[karne ya 15]] kulipelekea hitaji la [[mtaji]] mkubwa kwa ajili ya ukuzaji wa viwanda. Hili nalo lilipelekea kukua kwa biashara hii.
===(b) Kugunduliwa kwa Amerika (Dunia Mpya)===
Kugunduliwa kwa Amerika na [[Christopher Columbus]] mnamo [[1492]] kulipelekeakuliandaa kukua kwa Biashara ya Utumwa ya Pembetatu.
===(c) Kuanzishwa kwa mashamba makubwa na migodi barani Amerika===
Baada ya kugunduliwa Amerika, Wazungu walianzisha mashamba makubwa ya mazaoma[[zao]] aina mbalimbali kama vile pamba na tumbaku mjinihuko Magharibi mwa Indi. Hili lilitajililihitaji wafanyakazi, hivyo basi lilipelekea kukua kwa biashara.
===(d) Kushindwa kufanyakakzikufanya kazi kwa Wahindi Wekundu katika mashamba makubwa===
Awali, Wazungu waliwatumia wenyeji wa Amerika ([[Wahindi Wekundu]]) katika mashamba yao kama wafanyakazi. Lakini watu hawa walishindwa kufanyakazikufanya kazi kikamilifu kama jinsi Wazungu walivyotarajia. Hilo liliwafanya Wazungu waje Afrika kutafuta wafanyajikazi na hivyo basi biashara ikakua.
===(e) Ukuaji wa teknolojia ya meli===
Kukua kwa [[teknolojia]] ya meli (utengenezaji wa meli na mwongozo wa kidira) ulirahisisha [[usafirishaji]] baina ya Afrika, Amerika, na Ulaya. Kwa mfumo huu, ukuaji wa biashara ukawa hauepekikihauepukiki tena.
===(f) Mahali/nafasi ya kijiografia ya mabara matatu===
Amerika, Afrika na Ulaya zinakaribianazimekaribiana mno. Hili nalo lilirahisisha ukuaji wa biashara.
===(g) Upatikanaji wa watumwa katika Afrika Magharibi===
Watumwa na vitu vinginginevingine vya thamani kama vile pembe za ndovu, dhahabu na almasi vilipatikana kwa wingi [[Afrika Magharibi]]. Hili lilipelekea ukuaji wa biashara kuwa hauepekikihauepukiki.
===(h) Nafasi ya viongozi wenyeji wa Afrika Magharibi===
Huko Afrika Magharibi, baadhi ya viongozi walishirikiana na Wazungu kinaganaga katika kuratibu Biashara ya Pembetatu hasa kwa kukusanya watumwa na kuwasaidia wafanyabiashara wa Kizungu kupanga mikakati ya kibiashara na utelekezaji wake huko Afrika Magharibi. BaadhiKati ya hao viongozi alikuwemo [[Mfalme]] [[Agaja]], [[Alfin Abipa]], [[Alfin Ojago]], na [[Alafin Ojig]]. Hili nalo lilichangia ukuaji wa biashara ya Pembetatu.
==Matokeo/athari za Biashara ya Pembetatu katika Afrika==
Baadhi ya matokeo ya biashara ya Pembetatu hasa huko Afrika Magharibi yalikuwa kama hivi:
Line 38 ⟶ 43:
Waafrika wengi walichukuliwa kama watumwa na kupelekwa Amerika ili wakafanyaje kazi katika mashamba na migodi ya Wazungu. Hili lilipunguza idadi ya Waafrika hasa Afrika Magharibi.
===Kulipelekea ukame na njaa kutokana na uzalishaji hafifu===
Biashara ilipelekea kuleta [[ukame]] na [[njaa]] kwa sababu [[uzalishaji]] ulisimama hasa kwa kupoteza [[nguvukazi]] ya Afrika. Waliokuwa wanachukuliwa utumwa ni wale wenye miili yenye uwezo tu na si [[watoto]] wala watu wazima.
===Ilipelekea familia kutengana===
Biashara ya Pembetatu ilichochea mno utenganisho wa [[familia]] hasa kwa kufuatia kuchukua Waafrika kama watumwa na kuwapeleka Amerika na Indi-za-Magharibi.
===Ilipelekea kuanguka kwa Biashara ya Ng'ambo ya Sahara===
Biashara ilichangia mazima kuanguka kwa [[Biashara ya Ng'ambo ya Sahara]]. Mwishoni mwa [[karne ya 15]]], Biashara ya Ng'ambo ya Sahara ilishindwa kabisa kuendelea hasa kwa kuibuka kwa Biashara ya Pembetatu.
===Utumwa uliochochewa na biashara utumwa===
Biashara pia ilichochea (kufanya watu wapende biashara ya kuuza wenzao) vilivyo huko Afrika hasa katika upande wa Afrika Magharibi. Viongozi wengi wa Kiafrika walijihusisha vilivyo katika kununua na kuuza watumwa katika [[kanda]] hiyo.
===Kuanguka kwa baadhi ya falme/dola===
Biashara ya Pembetatu ilipelekea kuanguka kwa baadhi ya falme/dola huko Afrika Magharibi hasa zile ambazo zilitegemea kuuza bidhaa na si watumwa kwa Wazungu. Baadhi ya hizo dola ni pamoja na [[Dola la Ghana], [[Dola la Mali]] na [[Dola la Songhai]] na mengine mengi.
Line 50 ⟶ 55:
Biashara ilipelekea kukua kwa baadhi ya madola hasa yale yaliyokuwa yanategemea kuuza na kununua watumwa kama vile [[Tokolar]], [[Ife]], [[Dahomey[[ na kadhalika.
===Maendeleo duni===
Kiujumla biashara ilichochea kufifisha [[maendeleo]] ya Afrika katika nyanya zote ikiwa kijamiiki[[jamii]], kisiasaki[[siasa]] na kiuchumi.
===Kupatikana kwa jamii kubwa za Wanegro hasa Brazil na Marekani===
Watumwa waliopelekwa Amerika na sehemu nyingine walizaliana wenyewe kwa wenyewe au wanawake wao walipata mimba kwa Wazungu au wengineo. Ndiyo asili ya makundi makubwa ya watu wenye asili ya Afrika katika nchi kama [[Brazil]], [[Marekani]] n.k. Hasa katika visiwa vingi vya Karibi, wakazi wengi leo wana asili hiyo.
==Tazama pia==
*[[Biashara ya ng'ambo ya Sahara]]
Line 65 ⟶ 72:
 
[[Jamii:Historia ya Afrika]]
[[Jamii:Historia ya Amerika]]