Ekolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Ekolojia''' ([[gir.]] οἶκος ''oikos'' "nyumba" + -λογία ''logia'' "elimu ya.."]) ni tawi la [[biolojia]] inayoangalia [[viumbehai]] na mazingira yao, kama ni hali asilia au viumbehai wengine.
 
Kwa hiyo ukiuliza jinsi gani [[samaki]] wanahusiana na samaki na wanyama wengine na binadamu pamoja na mimea na hali ya maji wanamoishi unauliza maswali kuhusu ekolojia yao.
Mstari 5:
Wataalamu wa ekolojia huchungulia kila kitu kuanzia bakteria ndogo katika [[myeyusho]] wa kuwalisha hadi athira ya [[msitu wa mvua]] kwa [[halihewa]] ya dunia.
Ekolojia inalenga kuelewa jinsi gani pande mbalimbali ya uhai duniani zinahusiana na mazingira yao. Kila spishi ya viumbehai inategemea [[makazi (ekolojia)|makazi]] maalumu kwa kuduma maisha yake. Hapo ekolojia inachungulia pia athira ya mabadiliko yanayosababishwa na binadamu kwa makazi haya na ekolojia yao.
 
Kwa mfano matumizi ya madawa ya kuua wadudu katika [[kilimo]] inaweza kubadilisha ekolojia ya makazi kwa [[nyuki]]; kupotea kwa nyuki katika eneo kunaathiri pia kustawi wa mimea inayotegemea nyuki kwa kuzalisha matunda yao. Kwa hiyo ekolojia ni elimu ya kimsingi kwa kutambua [[uharibifu wa mazingira]] na kutambua hatua muhimu ya [[kuhifadhi mazingira]].
 
[[Jamii:Biolojia]]