Moroko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 84:
 
=== Moroko ya Kale ===
Habari za kimaandishi za kwanza ni kutoka [[karne]] za kwanza [[KK]]. [[Wafinisia]] walijenga miji yao pwani lakini eneo la ndani lilikuwalilibaki nchi ya [[Waberber]] waliounda [[ufalme wa Mauretania]] ya Kale (usiuchanganye na nchi ya kisasa [[Mauretania]]) uliounganisha sehemu kubwa ya Moroko ya kaskazini.
 
KaskaziniWamauretania mwawa kale walishirikiana na [[Dola la Roma]] nchihadi kukawakuwa jimbo la Kiromadola hili kwa jina la "[[Mauretania Tingitana]]". Baadaye kukawa na [[uvamizi]] wa [[Wavandali]].
 
Wakati wa kudhoofika kwa Dola la Roma kuanzia mwaka [[400]] [[BK]] kukawa na [[uvamizi]] wa [[Wavandali]].
 
=== Uvamizi wa Kiarabu ===
[[Karne ya 7]] [[BK]] ilileta uvamizi wa [[Waarabu]] walioteka nchi na kusababisha polepole Waberber kuwa Waislamu. Wakati wa(waliokuwa [[milkiWayahudi]] ya, [[khalifaWakristo]] yaau Kiabasiya,wafuasi wa [[Idrisdini ibnza Abdallah]] ([[788]]-[[791jadi]]) alikusanyakuwa ma[[kabilaWaislamu]] ya Waberber na kuunda milki ya kujitegemea. Hii ilikuwa mwanzo wa Moroko kuwa milki ya Kiislamu inayojitawala.
 
Mwanzoni Moroko ilikuwa sehemu ya [[milki ya khalifa]] ya [[Waomawiyya]] waliotawala [[Dameski]] ([[Siria]]). Baada ya kupinduliwa kwa Waomawiyya na [[Waabasiya]] wa [[Baghdad]] ([[Iraq]]) mkimbizi Mwarabu [[Idris ibn Abdallah]] ([[788]]-[[791]]) alikusanya makabila ya Waberber na kuunda milki ya kujitegemea. Hii ilikuwa mwanzo wa Moroko kuwa milki ya Kiislamu inayojitawala.
 
== Watawala wa kienyeji ==
Vipindi vya [[historia]] husebabiwa kufuatana na familia zilizofuatana za wafalme Waarabu au Waberber.
[[Picha:Map Almoravid empire-es.svg|thumb|300px|Eneo la utawala wa Wamurabitun]]
Moroko ilitawaliwa na familia za (miaka BK)
* Waidrisi ([[788]]-[[974]])
* Wamaghrawa ([[987]]-[[1070]])
* Wamurabitun (Almoravi)([[1073]]-[[1147]])
* Wamuwahidun (Almohad) ([[1125]]-[[1269]])
* Wamarini ([[1258]]-[[1420]])
* Wawattasi ([[1420]]-[[1547]])
* Wasaadi ([[1509]]-[[1659]])
* Waalawi ([[1631]] hadi leo)
 
=== Murabitun na Muwahidun ===
[[Wafalme]] wa [[Wamurabitun]] (Almoravi) ([[1073]]-[[1147]]) na wa [[Wamuwahidun]] (Almohad) ([[1147]]-[[1269]]) walieneza [[utawala]] wao hadi [[Afrika ya Magharibi]] ([[Mauretania]], [[Senegal]] na [[Mali]] ya leo) na sehemu kubwa ya [[Andalusia]] ([[Hispania ya Kiislamu]]), tena hadi mipaka ya [[Misri]].
 
Wamuwahidun waliendelea kupanuka kuelekea [[Misri]] lakini baadaye walidhoofika wakapaswa kuwaachia Wahispania Wakristo sehemu za [[Andalusia]]. [[Athira]] ya milki ya Moroko ilipungua baadaye hadi [[Hispania]] yote ikarudishwa kwa watawala [[Wakristo]] mwaka [[1492]]; pia utawala kusini kwa [[Sahara]] haukuendelea.
 
[[Wareno]] wa [[Wahispania]] waliendelea kuteka miji kwenye pwani za Moroko. Utawala wa Hispania juu ya [[Ceuta]] na [[Melilla]] leo ni mabaki ya nyakati zile.