Moroko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 139:
 
=== Dini ===
[[Uislamu]] ndio [[dini rasmi]] na ndio unaofuatwa na wakazi wengi sana (98.9%), hasa [[Wasunni]]. Wengine ni [[Wakristo]] (0.9%) na [[Wayahudi]] (0.2%). Wakristo karibu wote ni wa asili ya [[Ulaya]]. Wayahudi waliwahi kuwa wengi kidogo, lakini idadi yao imepungua katika miaka ya nyuma kutokana na [[uhamaji]] hata kama hali yao katika [[taifa]] ni nzuri kulingana na nchi nyingine za Kiarabu. Wakristo karibu wote ni wa asili ya [[Ulaya]].
Walio wengi sana (99%) ni [[Waislamu]] [[Wasunni]], wengine ni [[Wayahudi]] na [[Wakristo]].
 
Wayahudi waliwahi kuwa wengi kidogo, lakini idadi yao imepungua katika miaka ya nyuma kutokana na [[uhamaji]] hata kama hali yao katika [[taifa]] ni nzuri kulingana na nchi nyingine za Kiarabu. Wakristo karibu wote ni wa asili ya [[Ulaya]].
 
==Viungo vya nje==