Christopher Mtikila : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+chanzo
No edit summary
Mstari 11:
Mtikila alifungwa kwa mwaka mmoja mwaka 1999 baada ya kupatikana na hatia ya kutoa maneno ya kashfa dhidi ya aliyekuwa katibu mkuu wa [[CCM]], marehemu Horace Kolimba. Mwaka 2004 alihukumiwa kifungo kilichosimamishwa cha miezi sita kwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya mkuu wa polisi wa wilaya ya [[Ilala]].
 
Mchungaji Mtikali amefariki alfajiri Jumapili 4 Oktoba 2015 kwa ajali ya gari kwenye kijiji cha Msolwa [[wilaya ya Chalinze]]<ref>{[http://dailynews.co.tz/index.php/home-news/42821-shock-and-sorrow-as-mtikika-dies-in-road-accident Taarifa ya Dailynews kuhusu ajali]</ref>.
 
==Marejeo==