Christopher Mtikila : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
hakuna wilaya ya chalinze bado? |
||
Mstari 11:
Mtikila alifungwa kwa mwaka mmoja mwaka 1999 baada ya kupatikana na hatia ya kutoa maneno ya kashfa dhidi ya aliyekuwa katibu mkuu wa [[CCM]], marehemu Horace Kolimba. Mwaka 2004 alihukumiwa kifungo kilichosimamishwa cha miezi sita kwa kutoa maneno ya kashfa dhidi ya mkuu wa polisi wa wilaya ya [[Ilala]].
Mchungaji Mtikali amefariki alfajiri Jumapili 4 Oktoba 2015 kwa ajali ya gari kwenye kijiji cha Msolwa
==Marejeo==
|