Maafa asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 24:
 
==[[Kimbunga]] na [[tufani]]==
Tufani na kimbunga ni aina za dhoruba zenye mwendo wa kuzunguka. Zinatokea hasa katika kanda la tropiki la dunia. Zinaleta upepo mkali mno pamoja na kiasi kikubwa cha mvua. Zinaweza kubomoa nyumba, kuvuta watu na hata magari hewani na kuleta mafuriko makali.

[[Tufani ya Katrina]] ya mwaka 2005 iliharibu mji wa [[New Orleans]] huko Marekani, ikasabisha vifo zaidi ya 1200 na hasara ya mali ya takriban bilioni dolar za Marekani 108<ref>[http://www.dhh.state.la.us/assets/docs/katrina/deceasedreports/KatrinaDeaths_082008.pdf Utathmini wa vifo kutokana na Katrina (2008)]</ref> <ref>[http://www.nhc.noaa.gov/pdf/nws-nhc-6.pdf THE DEADLIEST, COSTLIEST, AND MOST INTENSE UNITED STATES TRO PICAL CYCLONES FROM 1851 TO 2010, US WeatherService]</ref>.
 
==[[Mafuriko]]==