Kizazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Four generations of a family.jpg|thumbnail|300px|Vizazi vinne vya wakinamama katika familia moja]]
'''Kizazi''' ni kundi la watu waliozaliwa takriban wakati wa pamoja na waliokuwa watoto na vijana pamoja. Dhana hiyo inafanana kiasi fulani na "[[rika]]" katika jamii za Kiafrika lakini haitegemei sherehe za pamoja jinsi ilivyo katika rika.