Mikoa ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 11:
*Mkoa wa Njombe, kutoka maeneo ya Mkoa wa Iringa
*Mkoa wa Simiyu, kutoka maeneo ya Mkoa wa Shinyanga
 
===Ugawaji wa nchi wakati wa ukoloni===
Wakati wa ukoloni wa Kijerumani eneo la Tanzania lilikuwa pamoja na Rwanda na Burundi kama [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]. Mwaka 1913 eneo lote liligawiwa kwa mikoa 21 na maeneo matatu ya wawakilishi wakazi. Mikoa 19 ilikuwa chini ya wakuu wa mkoa wa kawaida na mikoa miwili ilikuwa chini ya mamlaka ya kijeshi.
 
Mikoa ya kawaida ilikuwa:
{| class="wikitable"
|-
! Na. !! Mkoa !! Na. !! Mkoa
|-
| 1. || Wilhelmstal ([[Lushoto]])|| 11.|| Langenburg ([[Tukuyu]])
|-
| 2. || [[Tanga]] || 12. || Bismarckburg ([[Kasanga]])
|-
| 3. || [[Pangani]] || 13. || [[Ujiji]]
|-
| 4. || [[Bagamoyo]] || 14. || [[Tabora]]
|-
| 5. || [[Morogoro]] || 15. || [[Dodoma]]
|-
| 6. || [[Dar es Salaam]] || 16. || [[Kondoa-Irangi]]
|-
| 7. || [[Rufiji]] || 17.|| [[Moshi]]
|-
| 8. || [[Kilwa]] || 18. || [[Arusha]]
|-
| 9. || [[Lindi]] || 19. || [[Mwanza]]
|-
| 10. || [[Songea]] || ||
|}
 
Mikoa miwili ya [[Iringa]] na [[Mahenge]] ilikuwa "mikoa ya kijeshi" yaani chini ya usimamizi ya maafisa wakuu wa jeshi la [[Schutztruppe]].
 
Maeneo ya [[Bukoba]] (takriban sawa na [[Mkoa wa Kagera]] wa leo), [[Ruanda]] na [[Urundi]] yaliendelea kutawaliwa na watawala wao wa kieneyeji wakiangaliwa na [[mwakilishi mkazi]] wa Ujerumani aliyekuwa kama balozi, mshauri mkuu na msimamizi wa watawala hao.
Eneo la kukabidhiwa la Tanganyika liligawiwa na Uingereza kuwa na mikoa ifuatayo:
 
Divisions of Tanganyika in 1922 were: Arusha, Bagamoyo, Bukoba, Daressalam, Dodoma, Iringa, Kilwa, Kondoa-Irangi, Lindi, Mahenge, Morogoro, Moshi, Mwanza, Pangani, Rufiji, Rungwe, Songea, Tabora, Tanga, Ufipa, Ujiji, and Usambara. Numerous changes occurred between then and independence. The situation as of 1948, according to source [1], was:
Division Population
Central 821,147
Eastern 933,120
Lake 1,853,719
Northern 592,300
Southern 917,648
Southern Highlands 849,995
Tanga 557,245
Western 952,503
Total Tanganyika 7,477,677
Pemba 114,587
Zanzibar 149,575
Total Zanzibar 264,162
Total 7,741,839
 
Division: Tanganyika, provinces;
Zanzibar, islands (which were
not administrative divisions).
Populations: Tanganyika, 1948-02
census; Zanzibar, 1948-02-25
census. They were probably
conducted under different rules,
so the total is a hybrid.
 
~1961: Dar es Salaam province split from Eastern; West Lake province split from Lake.
1964-04-26: Tanganyika and Zanzibar merged. Tanzania now consisted of these twelve provinces:
 
Province Population Area(km.²) Capital Regions
Central 886,962 94,301 Dodoma Dodoma, Singida
Dar es Salaam 128,742 1,393 Dar es Salaam Coast (part)
Eastern 955,828 107,630 Dar es Salaam Coast (part), Morogoro
Lake 1,731,794 107,711 Mwanza Mara, Mwanza, Shinyanga (part)
Northern 772,434 85,374 Arusha Arusha, Kilimanjaro (part)
Pemba 133,858 984 Chake Chake Pemba
Southern 1,014,265 143,027 Mtwara Mtwara, Ruvuma
Southern Highlands 1,030,269 119,253 Mbeya Iringa, Mbeya (part)
Tanga 688,290 35,750 Tanga Kilimanjaro (part), Tanga
West Lake 514,431 28,388 Bukoba West Lake
Western 1,062,598 203,068 Tabora Kigoma, Mbeya (part), Shinyanga (part), Tabora
Zanzibar 165,253 1,658 Zanzibar Zanzibar Rural, Zanzibar West
12 provinces 9,084,724 928,537
 
Population: 1958 census
Regions: approximate equivalent regions after the reorganization
 
~1966: Tanzania reorganized into twenty regions.
~1967: Zanzibar Shambani (Rural) region split into Zanzibar Shambani North and Zanzibar Shambani South, which later became Zanzibar North and Zanzibar South and Central.
~1971: Rukwa region created from parts of Mbeya and Tabora.
1972-07-01: Lindi region split from Mtwara.
1974-01-01: Dar es Salaam region split from Coast.
~1982: Name of Coast region changed to Pwani; Pemba region split into Pemba North and Pemba South.
~1984: Name of West Lake region changed to Kagera.
~2002-05: Manyara region split from Arusha (former HASC code TZ.AR, FIPS code TZ01) (Sources [2]-[4]). All sources agree that Manyara contains Babati, Hanang, Kiteto, and Mbulu districts. That's all that source [4] seems to list. Source [3] adds Manyara and Simanjiro districts. If I follow the German text correctly, source [3] also says that the southern part of Monduli district was annexed to Babati district. Source [11] lists adds Simanjiro district and Babati town to the four.
2012-03-02: Government Notice No. 72 took effect. Geita region (capital Geita) formed by taking Bukombe district from Shinyanga region, Chato from Kagera, and Geita from Mwanza; Katavi region (capital Mpanda) formed by taking Mpanda district from Rukwa region; Njombe region (capital Njombe) formed by taking Ludewa, Makete, and Njombe districts from Iringa region; Simiyu region (capital Bariadi) formed by taking Bariadi, Meatu, and Maswa districts from Shinyanga region, and the newly created Busega district from Mwanza. The former HASC codes of the diminished regions were TZ.IR (Iringa), TZ.KR (Kagera), TZ.MW (Mwanza), TZ.RK (Rukwa), and TZ.SH (Shinyanga).
 
==Mikoa tangu 2012==